Vipindi vya dini katika shule za msingi na Sekondari za Serikali vifutwe

Hata wapagani ni raia kamili na wana haki zote katika hii nchi. Kuna shule zinalazimisha kwa viboko wanafunzi wote waende kwenye vipindi vya dini. Hii sio sahihi.
Kama upagani wao unatambulika waende huko wakaufanye katika ule muda wa vipindi vya dini.

Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
 
Havina shida mkuu,wacha viendelee.
 
Vikiondolewa tu tutatengeneza taifa lisilomjua Mungu. Halafu baadaye tutegemee watu kuishi bila kufuata moral principles!!!!
 
Havina tija kwako binafsi, kwa wanafunzi vina tija.
 
Watu badala ya kujibu hii mada kwa hoja wanaanza kuleta nonsense na personal attacks.

Alafu hawa wanaopiga promo hapa tabia zao na dini ni tofauti trust me asilimia 90 ya wote waliocomment kuhusu vipindi vya dini vimewasaidia na blahblah wapo kwenye ule uzi wa kula tunda kimasihara.
Na wao ndio walikuwa wakitongozana na kufanya ngono hukohuko shule baada ya kutoka kwenye hivyo vipindi vya dini.

Wewe unayesoma hapa na mfuasi wa dini nafsi yako yenyewe inakwambia ukweli.

Haya ndio mazao ya dini Unafiki na Uvivu wa kufikiri hata uwe na PhD.

hivi vipindi havina faida wala impact yoyote kwa wanafunzi tabia chafu, uhuni, ngono zembe, mimba za utotoni, uvutaji bangi na ujeuri uko palepale.
 
Naunga mkono kwa nguvu zote hii kitu lakini haimaanishi mimi ni mpagani.

1. Toka vianze kufundishwa shuleni wanafunzi wamepata faida gani?
2. Masomo ya dini ziachiwe dini zenyewe ziwafunze watoto wao na sio serikali.
 
πŸ˜πŸ‘πŸ‘πŸ‘ Ni wazinifu wa kufa mtu afu bado wanaona dini ina umuhimu shuleni
 
Mkuu kuna watu wenye akili za ajabu sana dunia hii. Badala ya kujenga hoja kupinga hoja wanaamua kufanya vihoja.
 
Hiyo ndiyo hoja yangu mkuu, umeifanyia ufupisho mzuri sana.
Naunga mkono kwa nguvu zote hii kitu lakini haimaanishi mimi ni mpagani.

1. Toka vianze kufundishwa shuleni wanafunzi wamepata faida gani?
2. Masomo ya dini ziachiwe dini zenyewe ziwafunze watoto wao na sio serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…