GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
100% vitakuwa ni vya kupongeza mafanikio ya Simba SC na 100% vitakuwa ni vya kuelezea uozo na kufeli kwa Yanga SC huko CAFCL.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri ni kwamba akili za mashabiki na viongozi wao zinaendana.Yanga Ipo kwenye njia sahihi, Mpira unaonekana, timu inaonekana kinachotakiwa kuongeza quality uwanjani muda si mrefu timu itafika mbali kimataifa...
Dah... Umeongea Kwa uchungu sana.Yanga Ipo kwenye njia sahihi, Mpira unaonekana, timu inaonekana kinachotakiwa kuongeza quality uwanjani muda si mrefu timu itafika mbali kimataifa...
Sikujua kuwa kumbe kuna Siku huwa unakuwa na Akili hivi na Kuongea Kimpira (Kispoti) zaidi.Yanga Ipo kwenye njia sahihi, Mpira unaonekana, timu inaonekana kinachotakiwa kuongeza quality uwanjani muda si mrefu timu itafika mbali kimataifa...
Unaendelea kujenga timu ya ushindani kwa kutumia wachezaji wazee. Kikosi kilichocheza jana kina wastani wa miaka 30. Kwa kifupi msimu ujao 70% ya wachezaji hao hawatakuwa na uwezo wa kushindana.Yanga Ipo kwenye njia sahihi, Mpira unaonekana, timu inaonekana kinachotakiwa kuongeza quality uwanjani muda si mrefu timu itafika mbali kimataifa.
Kwa apa ndani timu bado itaendelea kubeba Mataji ila Kwa soka la Africa kunahitajika figisu na kuhonga sana Marefa.
Nime mwelewa MO alipo amua kukimbilia kwenye Ngumi, amechoka kuhonga na bado timu Haina Cha maana inacho pata.
Nakushauri uongozi ni Bora kuchelewa kufanikiwa katika ngazi ya kimataifa kuliko kutumia nguvu nyingi kuhonga Marefa Ili utoboe Makundi na mwisho wake ni aibu tupu.
Uongozi ujikite katika kuendelea kujenga timu ya ushindani tulipofika ai pabaya.
Yanga Ipo kwenye njia sahihi, Mpira unaonekana, timu inaonekana kinachotakiwa kuongeza quality uwanjani muda si mrefu timu itafika mbali kimataifa.
Kwa apa ndani timu bado itaendelea kubeba Mataji ila Kwa soka la Africa kunahitajika figisu na kuhonga sana Marefa.
Nime mwelewa MO alipo amua kukimbilia kwenye Ngumi, amechoka kuhonga na bado timu Haina Cha maana inacho pata.
Nakushauri uongozi ni Bora kuchelewa kufanikiwa katika ngazi ya kimataifa kuliko kutumia nguvu nyingi kuhonga Marefa Ili utoboe Makundi na mwisho wake ni aibu tupu.
Uongozi ujikite katika kuendelea kujenga timu ya ushindani tulipofika ai pabaya.
Okrah 27,phiri 29Lomalisa
Bangala
Bigirimana
Djuma shabani
Fei toto
Etc etc
Wote hawa ni wachezaji used sana na ndo uti wa mgongo wa timu.
Njoo simba unakutana na Inonga,kanoute, sakho, okrah, isra, phiri, banda, zimbwe, kibu,onyango, outarra kennedy hawa wote bado ni wadogo na ndo first eleven .
Kennedy Juma 51.Okrah 27,phiri 29
Sasa timu ina wachezaji wenye umri mkubwa 98%. BTW timu gani ilishachukua ubingwa ikiwa na wazee?Hakuna timu inayo chukua ubinwa na wavulana, wachezaji wenye umri mkubwa wanahitajika, watatu,wanne sio mbya.
Yanga wanatimu Bora kuliko Simba, Swala la matokeo ya mchongo mnayopata aiondoi ubora wa Yanga. Ukipenda ndivyo ilivyo, ukikataa ndivyo ilivyo.Redio mchongo na wachambuzi uchwara wanaona aibu kwa walivyokuwa wanaisema vibaya SIMBA SC huku wakiwaaminisha mashabiki wa YANGA kuwa wana timu bora.
Kwa hyo kwenye mechi za nyumbani ile mechi ya AZAM ilikuwa halali kupata droo au bahasha gani unazungumziaYanga Ipo kwenye njia sahihi, Mpira unaonekana, timu inaonekana kinachotakiwa kuongeza quality uwanjani muda si mrefu timu itafika mbali kimataifa.
Kwa apa ndani timu bado itaendelea kubeba Mataji ila Kwa soka la Africa kunahitajika figisu na kuhonga sana Marefa.
Nime mwelewa MO alipo amua kukimbilia kwenye Ngumi, amechoka kuhonga na bado timu Haina Cha maana inacho pata.
Nakushauri uongozi ni Bora kuchelewa kufanikiwa katika ngazi ya kimataifa kuliko kutumia nguvu nyingi kuhonga Marefa Ili utoboe Makundi na mwisho wake ni aibu tupu.
Uongozi ujikite katika kuendelea kujenga timu ya ushindani tulipofika ai pabaya.
Diara, Kibwana, Dickson Job, Mwamnyeto, Feisal Salum, Tuisila Kisinda, Stefan Aziz K, Mayele, Jisus Moloko, Farid Musa. Tafuta Mzee kati ya hao alafu utafute iyo Asilimia 70 unayosema. Ao niwachezaji ambao mara nyingi Wana anza kikosi Cha kwanza.Unaendelea kujenga timu ya ushindani kwa kutumia wachezaji wazee. Kikosi kilichocheza jana kina wastani wa miaka 30. Kwa kifupi msimu ujao 70% ya wachezaji hao hawatakuwa na uwezo wa kushindana.
Jumla asilimia 200% kwenu studioooo100% vitakuwa ni vya kupongeza mafanikio ya Simba SC na 100% vitakuwa ni vya kuelezea uozo na kufeli kwa Yanga SC huko CAFCL.
Mechi ya vipers na ile ya coastal union pale arusha ndo ilikuwa kipimo sahihi cha caf champions league match ila wakaweka pamba.Uzuri ni kwamba akili za mashabiki na viongozi wao zinaendana.
Yanga alipopigwa na Vipers 2-0 ilikua ndio picha halisi ya timu Kimataifa.
Badala ya kujipanga zaidi kwa kucheza mechi nyingi za kirafiki za Kimataifa,viongozi wakapeleka timu wakaifungia Avic town baada ha hapo wakaanza kutafuta timu za kuokoteza then mashabiki wakasema timu yao ni nzuri kimataifa. Haya sasa kiko wapi.
Pole sana [emoji16][emoji2][emoji16][emoji16][emoji16]Yanga Ipo kwenye njia sahihi, Mpira unaonekana, timu inaonekana kinachotakiwa kuongeza quality uwanjani muda si mrefu timu itafika mbali kimataifa.