Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Sasa hili katazo la kutosafiri nje ya nchi la Mkuu wa Kaya linanigharimu naishia kuona ndege na airports kwenye YOUTUBE tu daah! DUTY FREE SHOPS za Dubai & OR Tambo tutazisikia tu kwenye social media
 
Jamani hii thread cjui nilikua wap kuisoma...yaan nimecheka ...huyo alosema walimsindikiza sista then wakajipanga kupga picha...I can't hold my kicheko....shikamoo ndege....meuwezesha huu mda wangu kwa kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jamani hii thread cjui nilikua wap kuisoma...yaan nimecheka ...huyo alosema walimsindikiza sista then wakajipanga kupga picha...I can't hold my kicheko....shikamoo ndege....meuwezesha huu mda wangu kwa kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata me huwa nacheka sana huu uzi mweee!!
 
Fastjet ndo ametutoa kimaso maso tulio wengi humu. Ila watu wa Mbeya wao washukuru zaidi FASTJET kwa kubakia ndege pekee inayotua SONGWE AIRPORT vinginevyo wangeishia kuiona Dar kwa usafiri wa FUSO (Samahani lakini).

Mkuu tutake radhi aiseehh!!!
 
Siku ya kwanza, Miaka ya Tisini, Nilienda JKNA mapemaaa, ile kufika tu nikakuta ndege ni ndogo WATU tuko kama 6, mizigo kibao, niliogopa sana,nilihofu hatutatosha. tulitosha na mizigo tukafika salama, ila wasiwasi mwanzo mwisho labda tutaanguka mhali mzigo mkbwa!!
 
sijui kama ilishasemwa ama laah, mii sijabahatika kuelewa ile menu ya vyakula katika ndege, mii nimesafiri na Etihad Airways na Ethiopian Airline!
 


 
Ha ha ha
 
Mie bado sijatua ushamba huo. Sijui siku hiyo itakuaje?
 
huu Uzi umenifurahisha sana. first time masaa tisa hewani. Nilikiwa makini sana pale Amsterdam. nikabadili ndege kwenda Scandinavia. lkn naona huu Uzi. haina washamba, ni kijifunza. watumish wa airport dsm ni wangese sana
washamba wezi na jipu
 
Mara ya kwanza kupanda ndege natokea iringa kuja dar. Tulivyofika pale mlima kitonga ndege ikaanza kuserereka.
 
Duty free shops za OR Tambo, johannesburg na DELHI & MUMBAI ndo angalau wana bei nzuri. NAIROBI (JKIA) ni majanga bei ya kuruka
 
Mimi sijawahi,na nina miaka 50 sasa,vipi kuhusu kuchimba dawa njiani,na je unaruhusiwa kufungua dirisha upate ka hewa ka angani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…