Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata me huwa nacheka sana huu uzi mweee!!Jamani hii thread cjui nilikua wap kuisoma...yaan nimecheka ...huyo alosema walimsindikiza sista then wakajipanga kupga picha...I can't hold my kicheko....shikamoo ndege....meuwezesha huu mda wangu kwa kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23]Hahahaaaaaaaa!!!!
Fastjet ndo ametutoa kimaso maso tulio wengi humu. Ila watu wa Mbeya wao washukuru zaidi FASTJET kwa kubakia ndege pekee inayotua SONGWE AIRPORT vinginevyo wangeishia kuiona Dar kwa usafiri wa FUSO (Samahani lakini).
baada ya gradu yangu chuo.Tukarudi mkoa na maza. Fastjet ndo imeanza.Nı mara yetu ya kwanza wote.
1. Mama anataka kukaa akakuta juu ya siti sehemu ya mizgo kuna mtu kashaweka wake.Akatia,"wee kondaa,we kondaa wéeh,hebu njoo kwanza"
2. Nikajaribu kwenda choóni japo sijabanwa alimradi tu nione pakoje
3.Facebuk page yangu iliomba poo. Mara checkin in at JKİ Airport. Mara nitupie picha alimradi kila mtu ajue.
4. Tulivofika madreva tax wakaanza kututukana eti "hamna lolote nyie mtakuwa fastjet tu" hapo kisa ni baada ya wao wanatugombania sie hatuna time tunaenda kwny daladala.
5. Jioni napokea simu toka kwa mjomba: "ah mjomba nimeamini ushamba mzigo wa mwiba".Nkamuuliza kwanini? Akasema,"leo sina raha. mama yako kutwa nzima anantambia kwny simu kisa kapanda ndege"

Ha ha haKuna mzee aliingia he was kinda late yeye ndo alikuwa wa mwisho, basi alipofika mbele kidogo akapayuka maneno haya nakumbuka " BASIIIIII, KWISHAAAAA, TAYARIIIII" watu tukashituka huyu dingi vipi akasema jamani nina miaka 68 leo ndo napanda ndege kwa mara ya kwanza.