Hahaaaa. utakwea tu kaka. Maana sisi wengine mpaka leo tunaendelea kukwea mapipa ndani na nje kwa hisani ya makampuni tunayofanya kazi na si kwa kulipa nauli zetu toka mfukoni. Hahah[emoji1] [emoji1] [emoji1]Ulinitangulia mwaka, mi nilikuwa mwaka wa pili ila 'Ngwine' mpaka leo sijawahi kupanda ndege...ila mwaka huu ntajitoa kimasomaso japo nikwee Fast Jet
Bhange sio chai wallahMi nilikua natoka Iringa kwenda Dar 2008 na ndege ya aridhini inaitwa Sumry, hizo kona za Iyovi ni balaa
Duu kumbe ww ndio nilikubebea perfum zako kwenye kandoo kangu kasamaki wakati tunatoka Mwanza kuja darDuuh ulifikiri ndege ni mabasi ya mkoani. Mimi nakumbuka nilibebda manukato (perfume) kwenye begi basi kwenye ukaguz nikaambiwa hairuhusiw kusafiri na perfumes kwa kiwango hicho nikaambiwa niache hapo. Anyway ndo kujifunza huko.
Usiombee ni usafiri wa pressure, hasa ukute dereva/ pilot ana msongo wa mawazo na anahisi mke wake si mwaminifu, mkifika salama basi mshukuru Mungu, au utatamani ungepanda tu bus.sijui lini na mie Allah atanijaalia kutembea angani kama wadau hapo juu!Allah tujaalie na sie wengine kwani wewe ndie qaadir.natamani na mimi cku moja nije nihadithie kitu kwenye huu uzi.
mkuu ulikutana na pilot mweny stress nini au ulitawaliwa tu na uoga?mi naomba tu Mungu anijaalie nikwee pipa ili walau nitoe tongotongo tu uku machoni,kila siku nimekuwa wa kuhadithiwa tu...aaah jamani!mkuu ebu tuseme amin ili nami niipande kama wewe,ili at least nije niseme kitu hapa kama wewe.Usiombee ni usafiri wa pressure, hasa ukute dereva/ pilot ana msongo wa mawazo na anahisi mke wake si mwaminifu, mkifika salama basi mshukuru Mungu, au utatamani ungepanda tu bus.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ila wahaya kwa sifa mmeongoza sasa mnataka "midege mikubwa" itue bukoba moja kwa moja? kwa abiria wapi na Auric tu hamjazi? Bukoba kuna nini hasa cha kujaza japo ndege ya abiria 50?
Khee! Sasa kama wengine uwezo wetu bado?watanzania wengi wamelala, kupanda ndege mpaka apate ofa ama alipiwe na ofisi ni wagumu mno kuchangamkia fursa nje ya nchi yao. Shame on us.