mrs fiance
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 352
- 163
Najikuta nacheka peke angu mpaka majozi yananitoka[emoji23][emoji23][emoji23]Dah! ndege ina speed jamani nilipanda AURIC AIR toka Njombe to Iringa ile naingia tu nasogea kwenye siti yangu ili nikae naambiwa "wa kushuka Iringa",nikadata nauliza wa kushuka Iringa mnamaanisha nini,yule kaka akasema tushafika Iringa,sikuonja hata siti ya ndege ikanibidi nishuke maana tuliisha fika Iringa,duh! ndege inakimbia jamani!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbeya-Dar na fastjet mama mtu mzima kabeba na kuku kokoliko kufika airport kuku karuka huyooooo
Kwani cim inaweza sababisha ndege iyumbe????bukoba -mwanza.....vile vindege vidogo...hiyo siku kulikuwa na mvua sana asubuhi..wakati tunaingia kwenye ndege tukaambiwa tuzime simu zetu ila kuna watu nikawaona wanaendelea kutumia simu wakiwa ndani kabla hatujaondoka...ile tunaondoka tu airport kandege kakaanza kuyumba yumba mara pailot akarudia tangazo watu wote wazime simu...mimi simu yangu nilitoa na betri kabisaaaa..
Uje ulete mrejesjo[emoji23][emoji23]me naiskiaga kwenye bomba ..but inshaallah soon months ntakwea to mwanza (just for fun kusafisha macho na kutoa ushamba)
Probably ni ile hali ya upepo na mvua siku hiyo, ila sasa hayo maswali utauliza ukishatua salama , pale ni kuzima simu fastaaKwani cim inaweza sababisha ndege iyumbe????
Haya mkuuProbably ni ile hali ya upepo na mvua siku hiyo, ila sasa hayo maswali utauliza ukishatua salama , pale ni kuzima simu fastaa
Sawa sawa manizzle,Zile zinazozidi ML 100 ndio unaweza kuchek in kwenye bag la chini, lakini zile zenye ML 100 and below unabeba kwenye bag lako la mkononi bila tabu
nilikwea FLY DUBAI DAR to DUBAI tukapumzika masaa kadhaa then nikakamata CATHAY PACIFIC mpaka HONG KONG baadae nikabadilisha ndege to SURABAYA (Indonesia), safari ya siku 2 (masaa 43 njiani) kufika huko sina hamu tena ya ndege *****!!!!! mwili wote hoii hata mshedude kama vile ndo nimetahiriwa leo.