kui
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 6,467
- 6,499
Mimi ilikuwa 2007 nilipata ride ya kwenda serengeti, nikapiga suti na scaf; kuingia kwenye ndege (hizi ndogo za watu 12) nakuta watu wamevaa simple sana kwa kuwa wanaenda bush; nilijisikia vibaya sana...
Umenchekesha, suit na scarf kwenda serengeti halafu na joto la bongo! 😀