Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Mimi ilikuwa 2007 nilipata ride ya kwenda serengeti, nikapiga suti na scaf; kuingia kwenye ndege (hizi ndogo za watu 12) nakuta watu wamevaa simple sana kwa kuwa wanaenda bush; nilijisikia vibaya sana...

Umenchekesha, suit na scarf kwenda serengeti halafu na joto la bongo! 😀
 
TFF jengeni uwanja wa maana Bukoba. Tena hapo mejaa wa nyumbani tupu fanyeni mambo fasta. Kabla mambo ya ajabu ajabu hayajawafikia
 
Kama me napata stress wakati wa kupanda tu ila wakati wa kushuka naona mambo shwari na naenjoy vibaya sanaaa....

Sema kama safari ya masafa marefu huwa nakunywa wines naomba chupa 2 zile ndogo ndogo basi mambo fresh safari inakuwa nzuri kabisaaa
 
Mi nilinunua Juice zangu 5 Washington DC nirudi nayo Tz kuhonga mchepuko wangu,kufika airport pale Washington Dulles Int. Airport (IAD) ukaguzi wakanizuia eti haziruhusiwi. Eti aidha nizinywe palepale au zitupwe kwenye dustbin....daaaaah,kuzinywa nikashindwa,basi wakazichukua wakazitupa.


Ungeweka kwenye bag la kuingia chini wala isingekuwa tatizo kabisaa....
 
Sasa Wafanyakazi wa Serikali ndege mtazisikia kwenye REDIO. Safi sana
 
Mi sikujua Mkuu..... Niliziweka kwenye begi la mgongoni iliniuma sana. Now nimeshajifunza!

Yeah vitu kama hivyo weka chini bag la mkononi kuwe na vitu vya kawaida tu na normal...ila bora u umejifunza now...
 
Mm ilikuwa 1939 kipind napigana vita vya 2 vya dunia. Tulikuwa tunatoka tz kuelekea Ujeruman. Sikuwa na was was wwte si unajua mjesh inabid ukomae. Kimbembe sasa kipind tunatoka ujeruman(Berlin) tunaelekea poland, tumefika kweny anga la poland tukaambiwa wote turuke toka angan, nusura nijinyee maana nikicheki chin palivyo mbali duh! Nilichoka ila uzuri tulipewa mbinu km parachuti ikishindwa kufunguka ni hayo.
Jeshini walikuwa wananiita sniper
 
Mi nilikuwa makini sana sikubugi safari zangu kadhaa za SA, ila nilikutana na tukio.
Baada ya ndege kupaa tukitoka SA kuja Dar, masaa kadhaa baadae nikainuka niende kukojoa (mkojo wa kawaida), kufika pale ofisini nikafungua nikakuta mdada mmoja wa kiTZ kajiachia kitu mwaaaaa anamwaga kojo. Hakufunga mlango sijui ndio maugeni??? basi niliishia tu kusema sorry na nikatoka japo nilitamani anambie njoo tumalizie tu kila kitu maana ushaona ishu yote.
 
Mmh nmefurahi. Mimi ilikiwa mwaka jana mwezi wa tatu(ahsante fastjet)
Niliingia kwa ndege nikiwa na amani, ilipopaa sikujua kuwa kule hewan huwani ni kama inatetema hivi kwenye mawingu sasa ilipokuwa inatikisika roho fyatu najua ndo tunarudi chini.

Alafu siku nasafiri nilisafiri na ile timu toka south afrika iliokujaga kucheza na yanga kwenye mwez wa pili hivi, sasa nilikaa na mmoja yeye akiwa dirishan tulipoingia nikamuomba nikae dirishani jamaa akatosa..lol

Tatu nilikuwa nahs tupo palepale mara nikaskia tunatua dar, mara chache sana nilihs ina move..na sijui kwann mpka leo.

Ushamba duu
Ukija kupanda vile vipanzi (Charters) utajifia-usijaribu
 
Mm ilikuwa 1939 kipind napigana vita vya 2 vya dunia. Tulikuwa tunatoka tz kuelekea Ujeruman. Sikuwa na was was wwte si unajua mjesh inabid ukomae. Kimbembe sasa kipind tunatoka ujeruman(Berlin) tunaelekea poland, tumefika kweny anga la poland tukaambiwa wote turuke toka angan, nusura nijinyee maana nikicheki chin palivyo mbali duh! Nilichoka ila uzuri tulipewa mbinu km parachuti ikishindwa kufunguka ni hayo.
Jeshini walikuwa wananiita sniper
Kweli.??[emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom