Northern Lights
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 395
- 357
Inaonekana wewe mtoto wa compoundHana uwongo wwt..watu tumeanza kupanda ndege enzi hizo kipindi cha mwalimu..williamson diamonds mwadui walikua na ndege 4 tulikua tunapanda tu kwenda madhuleni tunashikia dar..ndege ilikua kawaida sana kama uda tu kariakoo to mwenge!
Haya nisalimie pretorianimekuja south africa kupumzika nimefikia pretoria hotel PROTEA MANOR pametulia na hoteli bei nafuu sana. Usalama pia upo wa kutosha. Jirani kabisa na University of Pretoria.
Nimekaa sana hapo, kama wiki 3 hivi, nikaingia mtandaoni kutafuta mal.aya basi akadai nimpe details zote jina, chumba nilichop akawapigia mapokezi kabla hajaja ili kuhakikisha kama kweli nipo hapo, baada ya dk 15 akatia timu zinga la toto (Wezere kubwa ajabu) sema Brek Pumbou.nimekuja south africa kupumzika nimefikia pretoria hotel PROTEA MANOR pametulia na hoteli bei nafuu sana. Usalama pia upo wa kutosha. Jirani kabisa na University of Pretoria.
South Africa mallaya wengi wameshaungua na HIV so chukua tahadhari
Baelezee baeleweNimekaa sana hapo, kama wiki 3 hivi, nikaingia mtandaoni kutafuta mal.aya basi akadai nimpe details zote jina, chumba nilichop akawapigia mapokezi kabla hajaja ili kuhakikisha kama kweli nipo hapo, baada ya dk 15 akatia timu zinga la toto (Wezere kubwa ajabu) sema Brek Pumbou.
Wa tutambie tu,unaona ndogo hyo,milioni na laki tano kasoro hyo.KLM from Dar to Washington kwa 699 USD,! Tupewe nn tena Watanzania awamu hii ya viwanda?
vp bado tu hujakwea pipa?Mara yangu ya kwanza itakuwa miaka kadhaa ijayo,najua Mungu hashindwi na kitu pamoja najuhudi zangu ninazozionyesha.Nataka safari yangu ya kwanza iwe India.Huko ndipo malengo na ndoto zangu zilipo.Eeeh Mwenyezi Mungu nisaidie...(Amina)"Nlikuwepo":bolt:
Chaplinuzi huu ulinisaidia, Sikupata vimbweka vyovyote siku ya kwanza kukwea
sasa bongo movie hatununui tena, sijui huo u-HB utammuzia nani? mi nafikiri fuata tu ushauri wa mdau tu, watu wakusanye michango ya kutosha, tupige ubweche, muanze maishakama ni HB tafuta mume uishi nae, hakuna haja ya kuhangaika mpaka Dubai huko. Wakati hapa bongo tumejaa wa kutosha.
Hamkuelezwa tatizo ni nini mkuu. Ila hawa nao wana vindege vingine vidogo sana. Vinaangaishwa sana vikiwa hapo juuMajuzi Precision ikiwa inataka kutua Mwanza mvua ilikua inanyesha aisee hapo kati sijui ilikuaje ikaanza kushuka kwa kasi ya ajabu, mpaka nikaomba kwa kirumi. Baadae tukaenda kwa muda RUBONDO Airstrip kabla ya kurudi mwanza tena
Mvua na radi kali ulisababisha uwanja kufungwa kwa muda wakati Precision anataka kutua, tulizunguka angani kwa takribani dakika 20 lakini ilikuwa mbaya mno. Fastjet nae ikabidi atulie angani kwa muda maana lile dege lake sidhani kama lingeweza kutua rubondo.Hamkuelezwa tatizo ni nini mkuu. Ila hawa nao wana vindege vingine vidogo sana. Vinaangaishwa sana vikiwa hapo juu
Hivi kwa pale Mwanza plan B yake kwa ndege kubwa ni wapi? Poleni sana. Mi naomba Mungu lisinitokee hiloMvua na radi kali ulisababisha uwanja kufungwa kwa muda wakati Precision anataka kutua, tulizunguka angani kwa takribani dakika 20 lakini ilikuwa mbaya mno. Fastjet nae ikabidi atulie angani kwa muda maana lile dege lake sidhani kama lingeweza kutua rubondo.
** Ndege chekelea mkitua salama, kikinuka huko juu lazima utamani kutekwa, unaweza kupatikana maiti kuliko kuanguka baharini/ziwani.