Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Hana uwongo wwt..watu tumeanza kupanda ndege enzi hizo kipindi cha mwalimu..williamson diamonds mwadui walikua na ndege 4 tulikua tunapanda tu kwenda madhuleni tunashikia dar..ndege ilikua kawaida sana kama uda tu kariakoo to mwenge!
Inaonekana wewe mtoto wa compound
 
nimekuja south africa kupumzika nimefikia pretoria hotel PROTEA MANOR pametulia na hoteli bei nafuu sana. Usalama pia upo wa kutosha. Jirani kabisa na University of Pretoria.
Nimekaa sana hapo, kama wiki 3 hivi, nikaingia mtandaoni kutafuta mal.aya basi akadai nimpe details zote jina, chumba nilichop akawapigia mapokezi kabla hajaja ili kuhakikisha kama kweli nipo hapo, baada ya dk 15 akatia timu zinga la toto (Wezere kubwa ajabu) sema Brek Pumbou.
 
nimechek rwandair kufika india (mumbai) 305 usd. ngoja nikale pilipili huko, visa roughly = 100 usd, malazi 20 usd/night
 
South Africa mallaya wengi wameshaungua na HIV so chukua tahadhari

Nimekaa sana hapo, kama wiki 3 hivi, nikaingia mtandaoni kutafuta mal.aya basi akadai nimpe details zote jina, chumba nilichop akawapigia mapokezi kabla hajaja ili kuhakikisha kama kweli nipo hapo, baada ya dk 15 akatia timu zinga la toto (Wezere kubwa ajabu) sema Brek Pumbou.
Baelezee baelewe
 
Next time nataka niingie hapo Airport nikiwa kwenye "natural suit" (utupu) tuone kama kuna ataniuliza tiketi wala sijui passport.
 
Mara yangu ya kwanza itakuwa miaka kadhaa ijayo,najua Mungu hashindwi na kitu pamoja najuhudi zangu ninazozionyesha.Nataka safari yangu ya kwanza iwe India.Huko ndipo malengo na ndoto zangu zilipo.Eeeh Mwenyezi Mungu nisaidie...(Amina)"Nlikuwepo":bolt:
vp bado tu hujakwea pipa?
 
Pipa lina raha yake asee. Niliwahi kukamata Guberi Dar -KIA ile tunasubiria ndege pale domestic lounge ikatokea delay kama masaa 3 hv nkampa offer ya kinywaji kutahamaki bill imekuja 160,000/= imezidi nauli ya fastjet ( dar-KIA).
 
2014 July nilikua natoka airport ya dubai to dar via Emirates. A day before ndo nilishtuka visa yangu inakaribia ku expire afu nilivyokata tiketi niliandika after mwezi ndo return sasa nikaongeza mwezi, so ilibidi kwenda ofisi za fly Emirates nilipe faini kidogo then niangalie nafasi flight ya kesho yake. Wao wakanishauri kesho yake nifike airport nijaribu bahati kama ntapata nafasi maana zilikua full. Asubuh mwenyewe huyo airpot nikaenda kureport nikaambiwa nisikilizie as sikua kwenye hesabu zao. Basi nikasubiria kama lisaa baadae nkaambiwa nafasi nimepata basi nikaanza kwenda kukaguliwa na kutafuta ndege yangu. Kufika duty free na ushamba wangu nkaanza kupiga picha na kushangaa shangaa. Sasa uwanja wao mkubwa na me sijui ndege ya kuja dar iko kwa wapi na hakuna matangazo we nimefika wakanitaja jina kabisa wakaniambia we were waiting for you, your the last passenger. Doh
 
kama ni HB tafuta mume uishi nae, hakuna haja ya kuhangaika mpaka Dubai huko. Wakati hapa bongo tumejaa wa kutosha.
sasa bongo movie hatununui tena, sijui huo u-HB utammuzia nani? mi nafikiri fuata tu ushauri wa mdau tu, watu wakusanye michango ya kutosha, tupige ubweche, muanze maisha
 
Majuzi Precision ikiwa inataka kutua Mwanza mvua ilikua inanyesha aisee hapo kati sijui ilikuaje ikaanza kushuka kwa kasi ya ajabu, mpaka nikaomba kwa kirumi. Baadae tukaenda kwa muda RUBONDO Airstrip kabla ya kurudi mwanza tena
 
Hamkuelezwa tatizo ni nini mkuu. Ila hawa nao wana vindege vingine vidogo sana. Vinaangaishwa sana vikiwa hapo juu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hamkuelezwa tatizo ni nini mkuu. Ila hawa nao wana vindege vingine vidogo sana. Vinaangaishwa sana vikiwa hapo juu
Mvua na radi kali ulisababisha uwanja kufungwa kwa muda wakati Precision anataka kutua, tulizunguka angani kwa takribani dakika 20 lakini ilikuwa mbaya mno. Fastjet nae ikabidi atulie angani kwa muda maana lile dege lake sidhani kama lingeweza kutua rubondo.
** Ndege chekelea mkitua salama, kikinuka huko juu lazima utamani kutekwa, unaweza kupatikana maiti kuliko kuanguka baharini/ziwani.
 
Hivi kwa pale Mwanza plan B yake kwa ndege kubwa ni wapi? Poleni sana. Mi naomba Mungu lisinitokee hilo
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom