Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Blazil ya Mbagala?Nilipanda pipa kutoka nairobi hadi brazili.. Zaidi ya masaa 14 nipo tu ndani ya Emirates.. Airbus.
Ila kulitokea tatizo nikapata bahati nikahamishiwa business class. Nilipiga mapicha mpaka simu ikajaa.
Fb na instagram walinikoma kabisa.
Ila sipendi usafiri wa ndege
Rio de geneiro.Blazil ya Mbagala?
Maana huku kitaa kuna mtu anaitwa pele wa blazil
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi hata sijawai sema Mungu ni mwema
Shukrani mkuu,,,,Nitafanya hivyo kaka mwezi wa 4Buku tisini/thamanini tu mkuu unaosha nyota,unaruka na mwewe.
Dah mm huwa nasafiri na manukato yangu, ila tu usibebe kwenye hand laugage. Yaweke kwenye begi kubwami siku ya kwanza kupanda ndege ilikuwa 2010 natoka dar naenda mwanza usiku kabla ya safari sikulala maana sijui ndo furaha au kimuhe muhe cha ndege. Chezeya pipa wewe.
AiseeeNilipanda pipa kutoka nairobi hadi brazili.. Zaidi ya masaa 14 nipo tu ndani ya Emirates.. Airbus.
Ila kulitokea tatizo nikapata bahati nikahamishiwa business class. Nilipiga mapicha mpaka simu ikajaa.
Fb na instagram walinikoma kabisa.
Ila sipendi usafiri wa ndege
Nasubr pm yako taucMi nakumbuka nilijikoki nlikuwa nawaza ntavaaje hiyo siku ikifika.. Nakumbuka nkavaa mahereni makubwa, mapete na miwani mikubwa kaka angu alivyoniona akaniuliza hayo madude yote ya nn wakati wa kucheck inn unavuliwa... Ila kwa ubishi wangu nikaenda nayo na kweli nilivyofika check inn ya kwanza yakanikuta mara vuua vaa... Nilivyoenda ya pili tena yale yale mara vuua vaa... Nilipata shida utazani naenda sjui kwenye nn..
Teyari mwaya nishakupiemu[emoji14]Nasubr pm yako tauc
Namim[emoji4]Teyari mwaya nishakupiemu[emoji14]
Mweee tauc sio vzr hvo kusema uongo Mungu apend ujueTeyari mwaya nishakupiemu[emoji14]
Hiyobroute ina abiria wengi sana. Nimeshasafiri nayo zaidi yabmara kumiHivi kama Emirates hawapati hasara kurusha B787 Direct Dubai-Dar kila siku na abiria wa kuokoteza?