Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Nilipanda pipa kutoka nairobi hadi brazili.. Zaidi ya masaa 14 nipo tu ndani ya Emirates.. Airbus.

Ila kulitokea tatizo nikapata bahati nikahamishiwa business class. Nilipiga mapicha mpaka simu ikajaa.
Fb na instagram walinikoma kabisa.

Ila sipendi usafiri wa ndege
 
Blazil ya Mbagala?
Maana huku kitaa kuna mtu anaitwa pele wa blazil
 
mi siku ya kwanza kupanda ndege ilikuwa 2010 natoka dar naenda mwanza usiku kabla ya safari sikulala maana sijui ndo furaha au kimuhe muhe cha ndege. Chezeya pipa wewe.
Dah mm huwa nasafiri na manukato yangu, ila tu usibebe kwenye hand laugage. Yaweke kwenye begi kubwa
 
Mi nakumbuka nilijikoki nlikuwa nawaza ntavaaje hiyo siku ikifika.. Nakumbuka nkavaa mahereni makubwa, mapete na miwani mikubwa kaka angu alivyoniona akaniuliza hayo madude yote ya nn wakati wa kucheck inn unavuliwa... Ila kwa ubishi wangu nikaenda nayo na kweli nilivyofika check inn ya kwanza yakanikuta mara vuua vaa... Nilivyoenda ya pili tena yale yale mara vuua vaa... Nilipata shida utazani naenda sjui kwenye nn..
 
Hata sikumbuki ni lini ila niliapa kutopanda ndege siku moja naelekea Nchi za asia maeneo flan baada ya kuvuka somalia kwa juu kabisa, ndege ilianza kuyumba kulia na kushoto juu na chini kama meli kwenye dhoruba, mizigo karibu yote ilianguka sakafuni, watu walitapika, wenye presha zilipanda, wengine waliumia safari ikasitishwa kwa mda kutoa huduma kwa walioumia ikabidi ndege itue kwa dharura oman. Nlitamani nipande bus nirudi dar.
 
Nilipanda pipa kutoka nairobi hadi brazili.. Zaidi ya masaa 14 nipo tu ndani ya Emirates.. Airbus.

Ila kulitokea tatizo nikapata bahati nikahamishiwa business class. Nilipiga mapicha mpaka simu ikajaa.
Fb na instagram walinikoma kabisa.

Ila sipendi usafiri wa ndege
Aiseee
 
Mi nakumbuka nilijikoki nlikuwa nawaza ntavaaje hiyo siku ikifika.. Nakumbuka nkavaa mahereni makubwa, mapete na miwani mikubwa kaka angu alivyoniona akaniuliza hayo madude yote ya nn wakati wa kucheck inn unavuliwa... Ila kwa ubishi wangu nikaenda nayo na kweli nilivyofika check inn ya kwanza yakanikuta mara vuua vaa... Nilivyoenda ya pili tena yale yale mara vuua vaa... Nilipata shida utazani naenda sjui kwenye nn..
Nasubr pm yako tauc
 
Yes ndege niraha, ila usiombe maswaibu ya huko juu yatokee ukiwa umo ndani. Nakuahidi kama una roho nyepesi siku ingine husafiri na ndege. Niulize mm nikusimulie. Nlitamani kutorokea oman
 
Thanks to my dad and thanks to air Tanzania, sikumbuki idadi ambayo nimepanda ndege kwa safari za ndani, naamini alikua best daddy Mwenyezi amuweke pema In Sha Allah ameniachia ufahamu wa vingj sana.
Raha upande ndege kubwa kama boeng nikiwa mdogo nilikua naipenda 737 ya air Tanzania. Ila ndio upande hizi chatter ukishuka siku tatu unasikia kelele kwenye masikio kkkkkk [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom