Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

kuna mtu alipiga magoti Amsterdam wakati wanaunga ndege waende switz. Haya ni maneno waliokuwa karibu walimsikia akisema.
"eh baba! ushukuriwe kwa kunifikisha huku juu mbinguni baba! duniani dhiki na shida nyng baba! Mweh ndaga mwalafyale mweh"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka km chizi wallah mweeeeeh
 
Duuh ulifikiri ndege ni mabasi ya mkoani. Mimi nakumbuka nilibebda manukato (perfume) kwenye begi basi kwenye ukaguz nikaambiwa hairuhusiw kusafiri na perfumes kwa kiwango hicho nikaambiwa niache hapo. Anyway ndo kujifunza huko.
vipi maumivu ya masikio ndege inavyopaa?
 
Siku ya kwanza kupanda ndege ilikuwa 2011, niliwahi kufika Airport nikielekea SA na Baadae Germany, Ushamba kitu kibaya sana niliachwa na ndege OR Tambo kwa kutokufuata maelekezo ya boarding gate, huwezi amini nililala Airport for one day before connecting to Frankfult
shida nini hukuwa na mtu wa kukuelekeza?
 
Aliye pita Addis Ababa Bole International Airport anipe ABC za pale.....natimba pale sometimes in September kuelekea Korea Kusini
 
Back
Top Bottom