Jack HD
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 851
- 1,168
Mara ya kwanza nilipanda ndege Air Tanzania kwenda Comorro. Nilikwenda vizuri wakati wa kurudi kwenye foleni ya kugonga passport kule comorro nikaona kama wananiweka sana nikaenda direct kwenye ndege maana ilikuwa ikitusubiri. Walikuja kuniita aiseee[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app