Dah...kweli banaa....tumemiss sana zile kelele...[emoji2960]Mapipa yaanze kutua Sasa tupae tena
Kelele mnazosikia juu ya paa lenu pale karakata na jet lumo!
Dah...ndiyo Mkuu...watoto kila siku wanaulizia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kelele mnazosikia juu ya paa lenu pale karakata na jet lumo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna mtu alipiga magoti Amsterdam wakati wanaunga ndege waende switz. Haya ni maneno waliokuwa karibu walimsikia akisema.
"eh baba! ushukuriwe kwa kunifikisha huku juu mbinguni baba! duniani dhiki na shida nyng baba! Mweh ndaga mwalafyale mweh"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi nilikua natoka Iringa kwenda Dar 2008 na ndege ya aridhini inaitwa Sumry, hizo kona za Iyovi ni balaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka km chizi wallah mweeeeehkuna mtu alipiga magoti Amsterdam wakati wanaunga ndege waende switz. Haya ni maneno waliokuwa karibu walimsikia akisema.
"eh baba! ushukuriwe kwa kunifikisha huku juu mbinguni baba! duniani dhiki na shida nyng baba! Mweh ndaga mwalafyale mweh"
vipi maumivu ya masikio ndege inavyopaa?Duuh ulifikiri ndege ni mabasi ya mkoani. Mimi nakumbuka nilibebda manukato (perfume) kwenye begi basi kwenye ukaguz nikaambiwa hairuhusiw kusafiri na perfumes kwa kiwango hicho nikaambiwa niache hapo. Anyway ndo kujifunza huko.
shida nini hukuwa na mtu wa kukuelekeza?Siku ya kwanza kupanda ndege ilikuwa 2011, niliwahi kufika Airport nikielekea SA na Baadae Germany, Ushamba kitu kibaya sana niliachwa na ndege OR Tambo kwa kutokufuata maelekezo ya boarding gate, huwezi amini nililala Airport for one day before connecting to Frankfult
Hiyo airport ya OR ina boarding gate nyingi mno usipokua makini unaachwa sasa na ugeni aisee kuachwa kawaida sana.shida nini hukuwa na mtu wa kukuelekeza?
huwa unawasaidiaje maumivu ya masikio ndege inavyopaa au kutua?Huwa napenda sana kusafiri na njuka.... naenjoy sana kuwasaidia!
hapo inabidi uwe na mtu.inaonekana inachukua mda mfupi sanaHiyo airport ya OR ina boarding gate nyingi mno usipokua makini unaachwa sasa na ugeni aisee kuachwa kawaida sana.
YapoMapipa yaanze kutua Sasa tupae tena
Wakazi wa hayo maeneo wanataabika sanaKelele mnazosikia juu ya paa lenu pale karakata na jet lumo!