Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Kuna jamaa yangu nilimlipisha chakula kwenye south African airways.. Dola 50,,ilikuwa safari yake ya kwanza kusafiri na ndege kwenda juu..
Kutokana na ushamba wake wa ndege hakushtuka hilo,,kumbe msosi ni bure kabisa,,
Nilimwambiya lete pesa nikalipe chakula , vinywaji ulivyokula,,,BAHARIA nikala kabinyau...
Hadi Leo tukikutana namzidi maneno,,
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] aligundua?
 
Siku ya kwanza napanda mbung'o ET mwaka 2013 naingia ndani naona siti ziko wazi nikakaa kwa ushamba nikamuuliza mtu wa mbele kama kuna mtu kwenye ile siti mawazo yangu nilikua nahisi watakua wameenda chimba dawa maeneo ya pale airport halafu watarudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…