Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kuna mtu alipiga magoti Amsterdam wakati wanaunga ndege waende switz. Haya ni maneno waliokuwa karibu walimsikia akisema.
"eh baba! ushukuriwe kwa kunifikisha huku juu mbinguni baba! duniani dhiki na shida nyng baba! Mweh ndaga mwalafyale mweh"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
"Mwee ndagha Malafyale mwe[emoji23][emoji119]
 
Mimi ilikuwa 2007 nilipata ride ya kwenda serengeti, nikapiga suti na scaf; kuingia kwenye ndege (hizi ndogo za watu 12) nakuta watu wamevaa simple sana kwa kuwa wanaenda bush; nilijisikia vibaya sana...
😀 Hii Ilishanikutaga, Nikiwa Na Mwenzangu, Ilibidi tudanganye ni Wanasheria, Suti Kuubwaa! Kumbe Hatuna Lolote, Ushamba tu
 
Shusha kisa chako na wewe tufurahi mkuu
Nishakiweka humu mbona? Nachokumbuka siku hiyo sikulala, niliwahi saaaaaana😂😂, nilikuwa mstari wa mbele kabisa pale wanapokagua nikakukumbuka sijui kitu, ikabidi nijifanye napokea simu ila wengine watangulie,😂 kiwewe sikuona kama wanavua viatu, nikapita navyo nikarudishwa, kufika mbele lotion yangu kubwaa wakaitupa dustbin😂 matangazo yalikuwa ni mengi mara ndege hii inaenda wapi mara hii wapi walivyofungua geti mi nikapita, mara nikaambiwa pita geti lile.yaan ni full vurugu. All in all nilifika thanks to fast jet ndege ya kwanza kupanda.

Kila ninaemfahamu alisimuliwa nyumbani wote walijua nimepanda ndege. Sema sikuwa na siku mzuri hakuwa na selfie sijui ingekuwa kama sasa hivi ingekuwaje?
 
Kama nakuona vile na hizo movement mara umepita na viatu mara umerudishwa hilo wenge ulilokuwa nalo sasa 😂 😂 😂
 
rotion ndo nini??? au mafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…