Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

baada ya gradu yangu chuo.Tukarudi mkoa na maza. Fastjet ndo imeanza.N&[HASHTAG]#305[/HASHTAG]; mara yetu ya kwanza wote.
1. Mama anataka kukaa akakuta juu ya siti sehemu ya mizgo kuna mtu kashaweka wake.Akatia,"wee kondaa,we kondaa wéeh,hebu njoo kwanza"

2. Nikajaribu kwenda choóni japo sijabanwa alimradi tu nione pakoje

3.Facebuk page yangu iliomba poo. Mara checkin in at JK&[HASHTAG]#304[/HASHTAG]; Airport. Mara nitupie picha alimradi kila mtu ajue.

4. Tulivofika madreva tax wakaanza kututukana eti "hamna lolote nyie mtakuwa fastjet tu" hapo kisa ni baada ya wao wanatugombania sie hatuna time tunaenda kwny daladala.

5. Jioni napokea simu toka kwa mjomba: "ah mjomba nimeamini ushamba mzigo wa mwiba".Nkamuuliza kwanini? Akasema,"leo sina raha. mama yako kutwa nzima anantambia kwny simu kisa kapanda ndege"
nimecheka hadi kifua kinaumaaa
 
Emirates na Qatar wanaajiri madem pini sana. Kumtongoza ufanye kazi haswa. Tena uwe umekaa Business Class na usiwe bahili bahili
 
Back
Top Bottom