Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,404
Hivi walikashika kwa kisa gani??Ka-Bombardier wakanada wamekashika sasa sijui itakuaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi walikashika kwa kisa gani??Ka-Bombardier wakanada wamekashika sasa sijui itakuaje
Nini kilifuatia mkuuPipa lina raha yake asee. Niliwahi kukamata Guberi Dar -KIA ile tunasubiria ndege pale domestic lounge ikatokea delay kama masaa 3 hv nkampa offer ya kinywaji kutahamaki bill imekuja 160,000/= imezidi nauli ya fastjet ( dar-KIA).
Mkuu wewe unatakiwa kupimwa mkojo maana mchango wako hauendani na mada husikaAngola! ndo unatupigia kelele hapa.....
nimecheka hadi kifua kinaumaaabaada ya gradu yangu chuo.Tukarudi mkoa na maza. Fastjet ndo imeanza.N&[HASHTAG]#305[/HASHTAG]; mara yetu ya kwanza wote.
1. Mama anataka kukaa akakuta juu ya siti sehemu ya mizgo kuna mtu kashaweka wake.Akatia,"wee kondaa,we kondaa wéeh,hebu njoo kwanza"
2. Nikajaribu kwenda choóni japo sijabanwa alimradi tu nione pakoje
3.Facebuk page yangu iliomba poo. Mara checkin in at JK&[HASHTAG]#304[/HASHTAG]; Airport. Mara nitupie picha alimradi kila mtu ajue.
4. Tulivofika madreva tax wakaanza kututukana eti "hamna lolote nyie mtakuwa fastjet tu" hapo kisa ni baada ya wao wanatugombania sie hatuna time tunaenda kwny daladala.
5. Jioni napokea simu toka kwa mjomba: "ah mjomba nimeamini ushamba mzigo wa mwiba".Nkamuuliza kwanini? Akasema,"leo sina raha. mama yako kutwa nzima anantambia kwny simu kisa kapanda ndege"
Wanyakyusa ushamba umewazidiIla Wanyakyusa ushamba hauishi aisee ukifika pale SONGWE AIRPORT utawakuta kwa makundi kuja kushangaa Fastjet
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Emirates na Qatar wanaajiri madem pini sana. Kumtongoza ufanye kazi haswa. Tena uwe umekaa Business Class na usiwe bahili bahili
Mi napenda siku nipande business class tatizo uwezo
Ni Ndege ya Kolomije-ChattleMkuu business Class ndio ndege ya wapi hio