Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Hivi ni kitu gani kinafanya ndege kupaa? Maana pamoja na kusomea kumwagilia bustani JKKKT bado sijaelewa kwa nn ndege inapaa
Kwa jinsi nnavyoelewa ni simple physics tu inayofanya ndege ipae, ni yale MABAWA jinsi yalivyoundwa ndo yanafanya ndege ipae, iko hivi;

Upande wa juu wa bawa la ndege una shape mbinuko( curved) na upande wa chini uko flat, sasa basi kutokana na ile principle ya aerodynamics au bernoulli's law hewa itakayopita upande wa juu ya bawa itakua na mgandamizo mdogo (low pressure) ukilinganisha na upande wa chini ya bawa ambapo kutakua na mgandamizo mkubwa wa hewa (high pressure).. Hii ndo inafanya ndege iweze kuelea angani

Ukiangalia hata ndege warukao angani(birds) mabawa yao yamekaa hivyo, labda wanasayansi walichukua hiyo idea kutoka huko
 
Poa mkuu Durban naona nitaongeza gharama ntakuja Pretoria nafikiaga Protea Manor ama City Lodge. Dumela
Sawa mkuu....ila durban ni rands 250 tu....intercape...nenda uka enjoy bahari kule USHAKA BEACH...utakutana na meli waliyokuja nayo wakoloni kule....lakini imewekwa kama kivutio mkuu..huko chupi tupu mkuu..kama una matatizo ya macho yanapona yenyewe mkuu. ...
 
Ni salama kupanda basi hapo SA? 1. maana bado no a memory ya jamaa waliteka basi na kupora kisha wakaanza kulimwagia risasi 2. Uendeshaji/mwendokasi wa SA ajali nje nje. Hela yenyewe ya kuunga unga ya nn kujitafutia ukilema na mibasi ya huko. Hapo Pretoria napataga mitaqo ni balaa. Unamlewesha kisha unapiga mkojo mpaka unachoka mwenyewe
 
Hakuna tatizo mkuu.salama zaidi mkuu....panda mabus yenye majina kama ENTER CAPE..GREY HOOND. magari yana mfumobwa GPRS popote yanaonekana kwa njia ya GPRS....yana insuarance kubwa tu..hata ukipata tatizo
 
Umetaja Durban nikakumbuka kuna wakat nilikata tiketi fastjet dar-joburg-dar then joburg-Durban-joburg nikakata SAA sasa huku fastjet wakacancel ndege ghafla sasa kudai SAA wanirudishie pesa ya route ya joburg-durban-joburg walinisumbua mpaka nikawaachia 200usd hv hv daah
 
sijakuelewa kabisa
 
hatimae na mimi nimepanda ndege japo kachata...hivi vinavorukaga kila baada ya lisaa limoja.

Mara ya kwanza ilikuwa ni tarehe 24/11/2016 zenji to dar nilisafirishwa na ofisi,wakati naenda airport niliukumbuka sana huu uzi.

Hakuna cha tofauti sana nilichokiona au kushangaa isipokuwa experience ya kuelea hewani tu kwa kuwa ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza...Kikubwa nilikuwa napata tabu sana ile hali ya KUZIBA NA KUZIBUKA MASIKIO na niliposhuka nikawa kama sisikii vizuri hivi,yaani masikio yamekuwa mazito...second trip nilipanda kwa costs zangu mwenyewe dar to zenji baada ya kunogewa na ile safari ya kwanza.

Ndoto kubwa now imebaki kwa hizi international flights huwenda nikatoa ushamba zaidi...naishia kuziona angani na kwenye media tu...nahusudu sana emirates,ila I believe kwa kuwa nimeshatoa gundu tayari ipo siku inshaallah nitakwea tu pipa kubwa japo sio emirate.
 
Natamani siku mwanangu awe pilot
Humpendi mwanao, fikiria tz ajira za pilots ni ngumu kupata, labda mashirika ya kimataifa, akianza kazi kuonana majaliwa atakuwa busy balaa, akipata ajali (hatuombei ila haizuii kufikiria) hutauona mwili zaidi ya kwenda kutupa maua eneo la tukio au baharini. Omba Mungu amuongoze mwanao apate kazi sahihi itakayokupa furaha. Ni mtazamo tu.
 
acha uoga mkuu siku hizi ajali za ndege zimepungua sana technologia imekua sana
 
Back
Top Bottom