Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Daah, imenibid ku-book fastjet to KIA aisee,, nimemiss mipipa kiukweli. Hata pale KIA naona wamepakarabati full raha ukiwa pale. Mola tufanyie wepesi tupate hela ya kuwea mipipa hii
 
Hao Emirates wajipange ATC wanaichungulia hiyo route kwa jicho angavu. Hiv Walewafanyakazi wa ATC waliokuwa bado Dubai na joburg bado wapo huko?
Fleets to DXB kutoka Tanzania kwa siku nnazozijua ni kama 4 hivi, Emirates Fly Dubai ya DAR, JRO, na ZNZ izo ni kila siku lazima zifanye iyo Route na zinapata Abiria wa kutosha,, nahisi hata ATCL akianza atapata abiria tu kawaida ila hawezi Kushindana na akina Emirates-Fly Dubai izo Kampuni ni kubwa sana mkuu
 
Shime wafanyabiashara kariakoo kuweni wazalendo
 
mimi ilikua 2014 dar to mbeya. Nilikua napiga kelele kua Ticket yangu Haina City No. kumbe unapewa City No. pindi napanda.
nilipopanda nikawa nakenua meno kila mtu ananishangaa. alafu nilikua na viroba vya konyag
City Number = Namba ya mji
Seat Number = Namba ya siti ya abiria.

Mbona unapenda kuchanganya watu kwa kiongea lugha kihuni kihuni?!
 
Back
Top Bottom