Qute cherry
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 294
- 136
Ilikuwa ni precision juzi juzi hapa 2013 , miez ya mwanzoni nimetoka tu chuo nikapata kijob kimoja ambacho kuna kutravel sana ndan na nje.
Safari ya kwnza Arusha, dah kiukweli nilimshangaa sana Mungu na Kiumbe wake Mzungu . Yaani dk 40 tu nipo KIA? anga linavyopendeza ajabu, na ukichangia ilikuwa asubuh nzur mlma unaonekana kwa mbali. Dah !!
After just 5 month tu ,ukawa ndo usafir wa kawaida, had sasa nina masaa mengi tu hewani na kila siku yanaongezeka.
Ashukuliwe Mungu.
Kwa hisani ya watu wa Marekani.bila kumsahau Bill gates.