Habari zenu wakuu..
Kama kichwa kinavojieleza, kisayansi na kibaiolojia virusi wanasifa ya non living pale wanapokuwa nje ya seli ya kiumbe mwingine(host) na wanaweza kukaa muda mrefu bila kuwa na dalili zote za viumbe hai mpaka pale watapoingia kwenye seli ya kiumbe.
Swali ni vipi HIV virus tunaambiwa haambukizwi kwa mashine za kunyolea saloon kwa kigezo cha kwamba hawawezi kuish katika mashine na ilihali wao ni non living wanapokua nje ya host?
Karibuni wataalam mtujuze katika hili