Virusi hawafi, kwanini mashine za kunyoa hazisambazi UKIMWI?

Virusi hawafi, kwanini mashine za kunyoa hazisambazi UKIMWI?

Mbona naskia HIV cha mtoto... eti kuna homa ya ini na njia za uambukizaji ni hatari kuliko HIV NA UKIMWI?
Inategemea mkuu,

Yote ni magonjwa mabaya sana.

UKIMWI inaonekana ni ugonjwa wa kawaida nw days sababu ya dawa, ila bila uwepo wa dawa usiombe kuusikia wala kuuona.
 
Ukifuatilia kiundani kabisa utakuja kugundua hiv vitu viwili ni tofaut.

UKIMWI/AIDS na HIV/VVU
Ok!! Kama huto jali unaweza tupa ufafanuzi kidogo kuhusu yafuatayo

[emoji117]Kama ni seli hai ambazo ujigeuza kupambana na ugonjwa wowote ule, mgonjwa mwenye tatizo la HIV, ukumbwa na magonjwa mengi kwa wakati mmoja ambapo anapo tibu gonjwa A basi B huzuka, ukitibu gonjwa A na B, basi gonjwa C, D na E huzuka na baadae utashangaa gonjwa A,B,C,D na E huzuka kwa pamoja na hupelekea KIFO sasa, nini kina sababisha mgonjwa kabla ya kutumia ARV akitumia dawa za kawaida kutibu magonjwa yale A,B,C,D na E haponi??

[emoji117]umetuelimisha kuhusu usambazwaji wa tatizo hili kuwa halisambazwi kwa ngono, na tatizo hili ni scam unaweza kutusaiidia sasa hawa nduguzetu waliokumbwa na tatizo hili na sasa hawapo duniani na waliopo hai, especially ambao hawatumii ARV wafanyeje sasa ili seli hai hizo zilishinde tatizo hilo???

[emoji120]
 
Mmekuwa na viburi baada ya kuvimbiwa ARV's , ambaye ameexperience wagonjwa WA HIV miaka ya 80 na 90 huko hawezi andika Huu utoto mnaoandika hapa, ni vile Tu mmekulia kwenye neema ARV zimeshaanza kutumika ,watu wengine wanajipima nankuanza kubugia ArVS na miili ina nawiri na risk ya kushambuliwa na magonjwa nyemelezi inapungua Sana , Acha kabisa fanya masihara kwenye issues nyingine Ila si hili suala la HIV , watu walikuwa wanakuwa kama zombies
Nilimpoteza baba mzazi kwa huu ugonjwa kwenye miaka ya 1996 huko......baba aliumwa kweli,alikonda,alikuwa hajiwezi,alikuwa anatisha dah......above all alikufa.........huu ugonjwa kwa mtu anayesema haupo huwa namwangalia tu.......

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hii kitu ni real na kipo japo sikuwepo miaka hiyo mnayoisemea ila nimeshuhudia huku kwetu hapo 2016 kuna jamaa alikufa kisa kupuuza matumizi ya arvs. Ilikuwaje. Jamaa alikuwa nao ila akapata ajali ya pikipiki akavunjika mguu. Jamaa akakata tamaa akawa anakula dawa za ARVS na za jeraha huku anashushia na bia kama maji.
Hakukaa sana alivuta.

Baada ya maziko kaka yake akaanza toa nasaha palepale kaburini kwamba vijana mnazichezea hizi dawa lakini laiti mngekuwepo miaka ile ya tisini msingeleta mzaha kama huyu mwenzenu. Badala ya kuzitumia vzr umri uende ili dawa ya kutibu iwakute mko hai ili mpone nyie mwazitumia.
Am sorry me niwa last 90s lakini haya niliyasikia mwnyewe huku nikiwa nimeshika spade.
Mkuu,

Huyo jamaa ameongea vyema sana.

HIV/AIDS ni hatari mno.

Binafsi nilishuhudia watu wangu wa karibu wakiugulia huu ugonjwa hadi umauti. Mmoja alikuwa mke wa mwalimu wangu, watatu walikuwa majirani zangu.

Hawa niliowashuhudia walikuwa hawana tena nywele kwa kunyonyoka, miili ilikuwa imeshakwisha, walishaanza kuwa vichaa kama waokota makopo, na muda wote at late stage walikuwa wanatumia nepi mpaka umauti.

Kukaa nao ilikuwa changamoto sana, manake hata wakiwa wanaongea kuna mavitu meupe kama maziwa yalikuwa yanatoka midomoni, kiukweli ilihitaji uvumilivu.

*HIV/AIDS ina variant tofauti tofauti, ndiyo maana muathirika anatakiwa kuepuka kuendelea kuwa na wapenzi wengi.

Muathirika anaweza kutumia vyema ARV na zikafanya kazi vyema, ila wakati anatumia dawa akaendelea na ngono zembe akipata variant nyingine ambayo ni aggressive uwezekano wa dawa kumkataa ni mkubwa, na dawa zikikataa ndo kaburi hilo tena.
 
Nilimpoteza baba mzazi kwa huu ugonjwa kwenye miaka ya 1996 huko......baba aliumwa kweli,alikonda,alikuwa hajiwezi,alikuwa anatisha dah......above all alikufa.........huu ugonjwa kwa mtu anayesema haupo huwa namwangalia tu.......

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwanza pole sana mkuu.

Ndo maana mkwere alisema "akili za kuambiwa changanya na za kwako"

Wengi humu ni teenagers, uelewa wa haya mambo unaweza usiwe mkubwa kiivyo.
 
Mkuu,

Huyo jamaa ameongea vyema sana.

HIV/AIDS ni hatari mno.

Binafsi nilishuhudia watu wangu wa karibu wakiugulia huu ugonjwa hadi umauti. Mmoja alikuwa mke wa mwalimu wangu, watatu walikuwa majirani zangu.

Hawa niliowashuhudia walikuwa hawana tena nywele kwa kunyonyoka, miili ilikuwa imeshakwisha, walishaanza kuwa vichaa kama waokota makopo, na muda wote at late stage walikuwa wanatumia nepi mpaka umauti.

Kukaa nao ilikuwa changamoto sana, manake hata wakiwa wanaongea kuna mavitu meupe kama maziwa yalikuwa yanatoka midomoni, kiukweli ilihitaji uvumilivu.

*HIV/AIDS ina variant tofauti tofauti, ndiyo maana muathirika anatakiwa kuepuka kuendelea kuwa na wapenzi wengi.

Muathirika anaweza kutumia vyema ARV na zikafanya kazi vyema, ila wakati anatumia dawa akaendelea na ngono zembe akipata variant nyingine ambayo ni aggressive uwezekano wa dawa kumkataa ni mkubwa, na dawa zikikataa ndo kaburi hilo tena.
iko hivi, kama ushawahi kuuguza mgonjwa mwenye hili tatizo, uwezi kusmama kuongea wanachonongea hawa!! Especially awe ndugu yako wa karibu, tena awe ni ile type ya wanao kataaa kuikubali hali yaanj hataki kusikia habari ya ARV na anaamini labda kalogwa!!

Aiseee!! Achani nyie
 
Habari zenu wakuu..

Kama kichwa kinavojieleza, kisayansi na kibaiolojia virusi wanasifa ya non living pale wanapokuwa nje ya seli ya kiumbe mwingine(host) na wanaweza kukaa muda mrefu bila kuwa na dalili zote za viumbe hai mpaka pale watapoingia kwenye seli ya kiumbe.

Swali ni vipi HIV virus tunaambiwa haambukizwi kwa mashine za kunyolea saloon kwa kigezo cha kwamba hawawezi kuish katika mashine na ilihali wao ni non living wanapokua nje ya host?

Karibuni wataalam mtujuze katika hili
Kirusi ana uwezo wa kuitwa living thing pia non living thing kwa sababu, kwanza anaitwa non living thing kutokana Hana sifa za kiumbe hai ambazo zipo Saba zinazo mtambulisha kiumbe hai
1) Reproduction
2) Growth
3) Response to stimuli
4) Homeostasis
5) Organization
6) Metabolism
7) Adaptation
Kwa hiyo sasa ukiangalia hizo sifa Kirusi Hana kwa sababu hawezi kujizalisha, kukua (sio kuongezeka idadi), Hana mpangilio unamtambulisha kama seli Zaidi ya kuwa na genetic material DNA or RNA pamoja na cell wall, Hana uwezo wa kuzalisha nishati ili Kuweza kuendesha shughuli zake, Hana uwezo wa kurekebisha mazingira yake ya ndani ili kuendana na mazingira pia uwezo wa kuendana na mazingira yanayomzunguka.
Hizi ndio sababu Kirusi huitwa non living thing kwa sababu yeye kama yeye Hana hizo sifa.
Sasa ili aweze kuitwa living thing Kirusi huwa anatumia kiumbe kingine
Mfano seli nyeupe za damu ili kupata sifa husika, hutumia seli husika kujizalisha, kujiongeza kwa idadi, kutengeneza nishati n.k
Sasa tukirudi kwanini HIV haimbukizi kupitia kupitia mashine za kunyoa,
Kitu Cha kwanza kujua ni kwamba inawezekana kuambukizwa HIV kupitia kwenye mashine za kunyolea ila kuna sababu kadhaa zinazopunguza uwezekano huo na uwezo wa Kirusi kuishi nje ya mwili na kuambukiza.
1)Aina na kiasi Cha maji maji yaliopo, kwa kiasi kikubwa Kirusi huishi katika damu, majimaji kwenye mbegu za kiume, majimaji ya ukeni pia hata kwenye maziwa ya mama.
Kwa hiyo ili Kirusi kiweze kuambukizwa ni lazima mtu awe amekatwa na kutoa damu ya kutosha ili kuweza kumfanya Kirusi aweze kuendelea kuishi nje ya mwili.
2) Joto na unyevu unyevu wa sehemu husika.
3) Hali ya PH au acidity ya mazingira husika.
4) Uwepo wa jua katika sehemu husika.
Vitu hivi vikiwa havipo kulingana na Kirusi anavyotaka Kirusi husika hupoteza uwezo wake wa kuambukiza na baadae kufa.
Ndio maana kuna sterilization katika ma hospitali, lengo kuu ni kuua vidudu husika ikiwemo virusi.
N.B HIV ipo na inaua tujikinge na kuendelea kujielimisha.

Natumai nimeeleweka watu wengine watajazia zaidi...
 
Vijana wanakwambia UKIMWI ni hoax.
 
HIV anaweza asiambukize kupitia Mashine kwasababu nilisikiaga kwa Mtaalamu mmoja kuwa Mashine huwa inapata Moto wakati inatumika. Ule Moto unaweza ukamuua Kirusi(HIV).
 
Mkuu,

Huyo jamaa ameongea vyema sana.

HIV/AIDS ni hatari mno.

Binafsi nilishuhudia watu wangu wa karibu wakiugulia huu ugonjwa hadi umauti. Mmoja alikuwa mke wa mwalimu wangu, watatu walikuwa majirani zangu.

Hawa niliowashuhudia walikuwa hawana tena nywele kwa kunyonyoka, miili ilikuwa imeshakwisha, walishaanza kuwa vichaa kama waokota makopo, na muda wote at late stage walikuwa wanatumia nepi mpaka umauti.

Kukaa nao ilikuwa changamoto sana, manake hata wakiwa wanaongea kuna mavitu meupe kama maziwa yalikuwa yanatoka midomoni, kiukweli ilihitaji uvumilivu.

*HIV/AIDS ina variant tofauti tofauti, ndiyo maana muathirika anatakiwa kuepuka kuendelea kuwa na wapenzi wengi.

Muathirika anaweza kutumia vyema ARV na zikafanya kazi vyema, ila wakati anatumia dawa akaendelea na ngono zembe akipata variant nyingine ambayo ni aggressive uwezekano wa dawa kumkataa ni mkubwa, na dawa zikikataa ndo kaburi hilo tena.
Sahihi mkuu
Ndio maana utasikia kuna ukimwi wa dar, iringa, njombe nk. Huo wa. Iringa unaambiwa ni toleo la kwanza kbsa ambalo dada wa ndani yaani House girls walirudi nao huku kwetu. Ni noma.
 
Kwanza pole sana mkuu.

Ndo maana mkwere alisema "akili za kuambiwa changanya na za kwako"

Wengi humu ni teenagers, uelewa wa haya mambo unaweza usiwe mkubwa kiivyo.
Asante mkuu....waombe Mungu awaepushe na hii kitu......hata Sasa mtu kuishi kwa zile arvs ni changamoto sana.......Kama upo salama shukuru Mungu,jilinde

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Vijana waliozaliwa miaka ya2000 wakati ARV zimeshaletwa wana tabu sana. Hebu waulizeni Wazazi wenu wawa elezee kuhusisha ukimwi ulivyokuwa unapukutisha. Vijana hawa wangeona wagonjwa wa ukimwi walivyokuwa wanabaki kama katuni wasingeongea utoto eti ukimwi ni hoax,are you serious?

Mtu alikuwa akimuona mgonjwa wa ukimwi anaapa hatafanya ngono mpaka anaingia kabulini leo hii wengine wanakejeli. Hebu pata ukimwi halafu usitumie ARV uonje ladha ya ukkmy
Naomba mwenye picha za wagonjwa wa miaka hiyo atuwekee tuwakumbushe vijana..
 
Ukifuatilia kiundani kabisa utakuja kugundua hiv vitu viwili ni tofaut.

UKIMWI/AIDS na HIV/VVU

Yaan wanasema kuwa ili mtu apate ukimwi(upungufu wa kinga mwilini) basi lazima apate kwanza VVU/HIV na baadae kinga zikizorota anapata upungufu wa hizo kinga na kuanza kuugua,

Utata unakuja hapa, ukimchunguza mgonjwa anaesemekana kuugua UKIMWI hutokutana wala kuviona hivyo virusi mwilini mwake, ikimaanisha kuwa hakuna VVU bali kuna magonjwa mengine ya kawaida anayoumwa yamepelekea kinga kuzorota je kilichopelekea aumwe ni nini kama hana virusi?,

Kuna tofaut kubwa sana ya haya mambo, hivyo mnavyoita Virusi vya ukimwi havipo na havitowai kuwepo, Why?

Sababu vipimo vya Ukimwi(AIDS) na Virusi vya ukimwi(HIV) ni tofaut.

Kipimo cha AIDS ama UKIMWI hupima upungufu wa selihai mwilini ambazo uhusika na mapambano dhidi ya magonjwa nyemelezi, iwe homa ama nini, na kipimo cha HIV ama VVU yaan virusi wa ukimwi hiki kinahusika na Kupima uwepo wa hao virus mnaosingizia wanasababisha Ukimwi ama upungufu wa kinga mwilin, maajabu ni kuwa, kwanini ukimpima mtu mwenye upungufu wa kinga mwilini huwezi kumuona akiwa na hivyo virusi? Zaid ya kumuona anaumwa baada ya kinga mwili kupungua je virusi viko wapi mnaanza kusingizia CD4 zake zimeshuka ama kapata upungufu wakinga? Je ni kipi kilichomfanya apate huo upungufu kama virusi havionekani mwilini?.

Jibu unalipata kuwa, hivyo vinavyoitwa virus vya ukimwi ni aina ya selihai ambazo hujigeuza maumbile tofaut na mwanzo ili kupambana na vimelea nyemelezi vya ugonjwa wowote ule, na selihai hizi huzalishwa pale mtu anapokuwa ktk hatar ya kuugua gonjwa lolote liwe la kuambukizwa ama kutokuambukizwa na hata mtu anapokosa lishe kamili, selihai hufanya mageuzi haya ya kujipa nguvu ili kujihami na uvamizi wa vimelea.

Sasa wanasayansi walioamua kuifanya elimu ya matibabu iwe ya kibiashara na ushetan waliamua kuita mageuzi ya selihai hizo yaan selihai mpya kuwa ni kirusi, na kirusi hiki ni haramu hivyo kinasababisha magonjwa,

Wakaamua kufanya hila zaid kwa kuunda njama za tiba dhidi ya kinga ya mwanadamu, yaan unapotumia Dawa za ARV unakuwa unapambana na seli zako mwenyewe kuziangamiza ili zisiwe active kupambana na magonjwa hatimae unakuwa teja wa madawa ambayo endapo utaacha kuyatumia, basi utadhulika na magonjwa nyemelezi, maana kinga hazifanyi kazi tena, So utakufa ama kuugua magonjwa mpka uzirudie ARV, hapo UTU wako unakuwa umekwisha yaan kinga zako zimeshamalizwa na ponapona yako ni kujisalimisha ktk Utumwa wa kutegemea madawa.

Wanasayansi wabobevu wanajua kuwa hakuna kitu kinachoitwa HIV/ Virusi vya ukimwi, HAKUNAAA, maana hata ukiwaomba wakuletee hiyo Original Structure ya huyo kirusi yukoje baada ya kupimwa ktk Microscope, hawatokuonesha YOU KNOW WHY? sababu hayupo, sasa kitu kisichokuwepo kinaweza kuambukiza? Kusambaa? Kuleta madhara? Whts the nonsense waanze kusema Kuna HIV kama icho kirusi chenyewe hakijawai kuonekana wala hakina umbo wala uwepo?[emoji23][emoji23][emoji23]mtachezewa akili.

Wengine tulipoyajua haya tulishaachana na hofu za kijinga wala kuhofia hizo nadharia za kishenzi za hawa madactari wetu uchwara wanaokalili notes bila kuhoji wala kutafiti,

Endapo Tafiti zikifanyika dhidi ya hili gonjwa feki, basi mataifa makubwa mnayoyategemea yatatakiwa kuwekwa kizuizin ama kufunguliwa mashitaka dhidi ya Uhalifu wa afya za watu, pia Malipo na fidia kubwa zitatakiwa kurejeshwa kwa waliodhuliwa na huo uongo, pia sekta ya Afya na matibabu dunian itadharauliwa kwa kuunda uongo unaoangamiza jamii, hapa ndiomaana utaona kila anaejaribu kufichua huo ushenzi, wanammaliza ama kumfungia usajili wa kufanya tafiti, bila kusahau kumkatisha tamaa kupitia propaganda zao za kishetani.

Ukimwi hausababishwi na virusi, na hivyo basi ukimwi utambulike kama idadi ya magonjwa yanayomkumba mtu baada ya kukosa lishe ama kinga zake kuzorota baada ya madhara ya matumizi ya madawa yanayodhuru mwili, iwe ya kulevya ama madawa ya hospitalin.

Na itambulike kuwa, mtu akikosa lishe ataugua na akiugua uo ugonjwa utaitwa ni ukimwi na ukimwi huo hautoweza kuambukizwa kwa njia ya damu wala ngono,

Pia itambulike kuwa mtu akiugua kaswende, kisonono ama Tb huyu tukimpima idadi ya selihai mwilin tutasema anaugua ugonjwa wa kupungua seli(ukimwi)yaan atakuwa anaitwa mgonjwa wa gonjwa ambalo limemsababisha apungukiwe selihai na gonjwa hilo linaweza sababishwa kwa kuambukizana kupitia migusano kama ni(Tb) na gonjwa hilo linaweza kuwa la kuambukizwa kwa ngono kama mtu ameugua(kaswende/U.T.I ama kisonono) hayo magonjwa ya kawaida ya zinaa, hivi ndivyo wahuni waliutunga uongo na kuanzisha nadharia ya UKIMWI[emoji23][emoji23][emoji23].

Hivyo basi nihitimishe kwa kusema, hakuna kiumbe kinachoweza kupretend maisha kwa kujigeuza mfu, huu ushenzi wa kuaminisha watu ufie uko uko vyuoni mnakowadanganya wanafunzi na kuwakalilisha Notes za kishetan ili waje kuwa madactari wanaosapoti ushetan dhidi ya Afya ya mtu.
Dah! Aisee wewe Muobgo hataree lait ningekuwa karbu yako unaniambia huo Upuuz wako ningekupiga Kofi.
Nipo kitengo cha Arv hapa Hospitaal.....
Nawahudumia wagonjwa wa ukimwi kwa kuwapa ARV NA sometime kutoa huduma ya kuwatembelea Majumban kwao kuona uhalisia wa hali zao za Afya zikoje.

Sasa wewe Njoo nikugonge Sindano yenye Virus vya HIV kisha ule Lishe nzur ya chakula na kufanya mazoezi bila kula dawa ili tuone kama Ukimwi (Upungufu wa Kinga Mwilini) utaondoka mwilini wako.

Acha kudanganya watu bhana watu wamepoteza Ndugu, Jamaa na Marafiki kwasababu ya huu Ugonjwa halagu wewe unauita Hoax/Scam!

are you serious Kijan???
 
Daah Mungu atusaidie sana,

mimi juzi kati nilikutana na mwanamke..ana mshepu yuko vizuri tako kule..., nikamuomba kupima akadai leo tutumie kondom tutapima next week.

Kweli mzee nikapiga na kondom, tukiwa katikati ya tendo..kondom ikachomoka. Nikachomoa fasta..nikavaa nyingine. Tukaendelea kama dakika 3 nikapiz.

Tukaenda kuoga ,tulivyorudi...nikaanza kumbembeleza kupima..akakubali..nikachukua vipimo kuja kupima...yeye ikasoma mistari miwili na mm mmoja. Daaah hadi sasa sina amani kabisa.

Ingawa nimeshapima mara mbili niko negative. Nimeambiwa nirudie baada ya mwezi mmoja. Nipo kusikilizia mana PEP waliniambia nimechelewa.
 
Habari zenu wakuu..

Kama kichwa kinavojieleza, kisayansi na kibaiolojia virusi wanasifa ya non living pale wanapokuwa nje ya seli ya kiumbe mwingine(host) na wanaweza kukaa muda mrefu bila kuwa na dalili zote za viumbe hai mpaka pale watapoingia kwenye seli ya kiumbe.

Swali ni vipi HIV virus tunaambiwa haambukizwi kwa mashine za kunyolea saloon kwa kigezo cha kwamba hawawezi kuish katika mashine na ilihali wao ni non living wanapokua nje ya host?

Karibuni wataalam mtujuze katika hili
Kirusi kinakufa vizur fu
 
Back
Top Bottom