Umeshachunguza ni saloon ngapi zinafanya hyo sterilization??? Mitaani hamna hiyo kitu na wataalam wanatuambia maambukizi yanapungua tofauti na miaka ya nyuma..MKUU UNA UHAKIKA MASHINE HAZIAMBUKIZI? UNAJUA KWA NINI WANAFANYA STERILIZATION??
Aisee[emoji848]Ukimwi ni Hoaxy(Hoax).
Nami napatwa mashaka zaidi na hii kitu mzee.. coz uswahilin saloon nying hazina hayo mambo yao ya sterilization na watu hawaambukizaniShtuka. Ukimwi ni scam.
Wazee wa covid wapo Ukraine 😂Mambo mengine naona ni mapenzi ya mola tu kwa viumbe vyake
Mimi sikutegemea kuona COVID inaisha ila eti imeisha,ukitafakari namna COVID inavyosambaa kutoka mtu mmoja kwenda mwingine ni inshu ngumu sana kuepuka
Argument yako ni illogical....Mambo mengine naona ni mapenzi ya mola tu kwa viumbe vyake
Ukifuatilia haya mambo ungejua kabisa kilichotokea ndio ambacho kingetokia (immunity kujengwa baada ya mwili kugundua adui zake) sio kwamba COVID imekwisha bali mwili umepata weaponry ya kupambana nayo (na yenyewe mpaka ijipange upya na kurudi kivingine..., Hence the battle continues, and the fittest survive; the weakest perish.... (that's nature for you) inaji-balance yenyeweMimi sikutegemea kuona COVID inaisha ila eti imeisha,ukitafakari namna COVID inavyosambaa kutoka mtu mmoja kwenda mwingine ni inshu ngumu sana kuepuka
Kataa kupima uushinde ukimwi. Kamwe usikubali kupima ilimradi uwe na uhakika hauumwi sehemu yoyote usipime! Ukiwa hauumwi halafu ukapima ndio utakuwa mwanzo wa kuumwa. Na hapo ndipo scam ilipoanzia.Nami napatwa mashaka zaid na hii kitu mzee.. coz uswahilin saloon nying hazina hayo mambo yao ya sterilization na watu hawaambukizani
Mbona miili haijengi immunity ya kaswende?(magwonjwa ya zinaa?).Argument yako ni illogical....
Angewapenda sana angezuia in the first place.., pili kama kifo sio adhabu ni pre-arrange (according to your faith) kwahio unachofanya initially haki-determine final outcome... Kama eventually utakufa (does it mean kwamba hapo ameacha kukupenda?)
Ukifuatilia haya mambo ungejua kabisa kilichotokea ndio ambacho kingetokia (immunity kujengwa baada ya mwili kugundua adui zake) sio kwamba COVID imekwisha bali mwili umepata weaponry ya kupambana nayo (na yenyewe mpaka ijipange upya na kurudi kivingine..., Hence the battle continues, and the fittest survive; the weakest perish.... (that's nature for you) inaji-balance yenyewe