Virusi hawafi, kwanini mashine za kunyoa hazisambazi UKIMWI?

Mkuu umeelezea vema sana nimesoma pia makala moja ya mwamba Dr.Sebi Wa Mexico Inaeleza Hvyo Thabo Mbeki Alishtuka Akawaambia wasouth waache mara moja ARVs wakubwa wakampora uraisi Anyways napiga kambi kwenye huu uzi kuna mafundi sana
Mmekuwa na viburi baada ya kuvimbiwa ARV's , ambaye ameexperience wagonjwa WA HIV miaka ya 80 na 90 huko hawezi andika Huu utoto mnaoandika hapa, ni vile Tu mmekulia kwenye neema ARV zimeshaanza kutumika ,watu wengine wanajipima nankuanza kubugia ArVS na miili ina nawiri na risk ya kushambuliwa na magonjwa nyemelezi inapungua Sana , Acha kabisa fanya masihara kwenye issues nyingine Ila si hili suala la HIV , watu walikuwa wanakuwa kama zombies
 
Mbona naskia HIV cha mtoto... eti kuna homa ya ini na njia za uambukizaji ni hatari kuliko HIV NA UKIMWI?
 
SITUKA Upungufu wa Kinga Mwilini maanake utapiamlo ulíona wapi utapiamlo wako ukamwambukiza mpenzi wako au mke wako alafu kwanini usile tu vyakula vya kupandisha kinga ili upone kwanini ule dawa maisha yako yote kuna kitu nyuma ya pazia

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Acheni kutisha watu! Mainstream Media zimewaharibu sana. AIDS ipo ila haisababishwi na hicho kinachosemwa! Mbona watu wengi siku hizi wanalijua hili? Nyie mnaishi ulimwengu gani?
 
Vijana waliozaliwa miaka ya2000 wakati ARV zimeshaletwa wana tabu sana. Hebu waulizeni Wazazi wenu wawa elezee kuhusisha ukimwi ulivyokuwa unapukutisha. Vijana hawa wangeona wagonjwa wa ukimwi walivyokuwa wanabaki kama katuni wasingeongea utoto eti ukimwi ni hoax,are you serious?

Mtu alikuwa akimuona mgonjwa wa ukimwi anaapa hatafanya ngono mpaka anaingia kabulini leo hii wengine wanakejeli. Hebu pata ukimwi halafu usitumie ARV uonje ladha ya ukkmy
 
Ushajiuliza kwanini mtu ukipima ukaambiwa unao
Homa ndo zinaanza??
 
 
DYOR
 
Kwakweli sio rahisi (hata kwa kusimuliwa) kwa mtu ambaye hakuwepo au alikuwa bado mtoto wkt uo kujua balaa la hili gonjwa. HIV ya miaka ile iliwaondosha mahendisam boy na madada wanguvu na watoto wadogo wengi sana (japo wapo walioweza kusavaivu hadi dawa zilipokuja 2003 km sikosei).

Hali ilitisha sana kiasi hakuna aliyethubutu hata kwenda kupima afya (maana hata ukipima ukakutwa nao, hakukuwa na dawa). Ashukuriwe mke wa rais bush wa marekani na pefpar kuleta dawa kwenye hz nchi zetu masikini.

Tuendelee kuomba dawa ya kumaliza hii shida ipatikane.
 
Mkuu naomba unijib maswali haya tafadhali[emoji120][emoji120]

Ushawahi kumuona mgonjwa wa TB???

Ukimuona mgonjwa wa TB na wa ukimwi unaweza kuwatofautisha??

Una uhakika gani kilichokua kinapukutisha watu ni ukimwi na sio TB???

Kwann baada ya tiba ya TB kupatikana na idadi ya wanaokufa kwa ukimwi imepungua??

Kwann watu wengi wanaosemekana wana ukimwi wanakufa na magonjwa ya moyo,figo,kisukar,ini n.k ma sio kama zaman???
 
Acheni kutisha watu! Mainstream Media zimewaharibu sana. AIDS ipo ila haisababishwi na hicho kinachosemwa! Mbona watu wengi siku hizi wanalijua hili? Nyie mnaishi ulimwengu gani?
Dogo hujui chochote ni Bora ukae kimya Tu
 
Unafananisha HIV na TB? duh haya bwana
 
Ukimwi hausababishwi na virusi, na hivyo basi ukimwi utambulike kama idadi ya magonjwa yanayomkumba mtu baada ya kukosa lishe ama kinga zake kuzorota baada ya madhara ya matumizi ya madawa yanayodhuru mwili, iwe ya kulevya ama madawa ya hospitalin.

Nakuunga mkono.
Watumiaji wengi wa madawa ya kulevya Ni wahanga wa Ukimwi.
Walevi wakupindukia mataputapu Ni wahanga wa Ukimwi
Akina mama wajawazito ni wahanga wa Ukimwi.

Madaktari wa kukariri notes..watakubishia
 
Hii kitu ni real na kipo japo sikuwepo miaka hiyo mnayoisemea ila nimeshuhudia huku kwetu hapo 2016 kuna jamaa alikufa kisa kupuuza matumizi ya arvs. Ilikuwaje. Jamaa alikuwa nao ila akapata ajali ya pikipiki akavunjika mguu. Jamaa akakata tamaa akawa anakula dawa za ARVS na za jeraha huku anashushia na bia kama maji.
Hakukaa sana alivuta.

Baada ya maziko kaka yake akaanza toa nasaha palepale kaburini kwamba vijana mnazichezea hizi dawa lakini laiti mngekuwepo miaka ile ya tisini msingeleta mzaha kama huyu mwenzenu. Badala ya kuzitumia vzr umri uende ili dawa ya kutibu iwakute mko hai ili mpone nyie mwazitumia.
Am sorry me niwa last 90s lakini haya niliyasikia mwnyewe huku nikiwa nimeshika spade.
 
1.Je kipimo cha UKIMWI yaani AIDS kinawezaje kutoa majibu? Ya kuwa wewe unao na yule hana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…