Virusi na UKIMWI ni ugonjwa feki? Kuna kitu sielewi...

😂😂 Aisee
 
ilikuaje akapima alikuwa anaumwa au alipima kwa hiari
 
mkuu Deception, kipindi kile hakuna ARVs watu walikuwa wanakufa na nini?? kuna kamchezo walikacheza hapa
 
Deception I missed your nondos
 
mkuu Deception, kipindi kile hakuna ARVs watu walikuwa wanakufa na nini?? kuna kamchezo walikacheza hapa
TB,Malaria,hepatisis etc,huduma za Afya zilikua duni Sana that's y watu walikua wanakonda wanabaki mifupa
 
I know almost each and everything you're describing.

But honestly I believe researchers and doctors who spent many years to find facts Upon HIV/AIDS.

I can't even imagine a doctor who stay five years at college, can fail to unveil the so called hoax especially in consideration to your childish arguments.
 
mkuu Deception, kipindi kile hakuna ARVs watu walikuwa wanakufa na nini?? kuna kamchezo walikacheza hapa
Swali zuri sana,ila sitakujibu moja kwa moja....kabla ya kuuliza hivyo,yakupasa kwanza kujiuliza watu walikufa kwa nini kipindi kile hakuna HIV,usiulize kabla ya ARVs,bali uliza kabla ya HIV watu walikufa kwa nini.Maana wapo watu wengi tu walikufa kwa mtindo kama huo unaojua ambao sisi ndio tumeambiwa ni ukimwi.

Sasa badala ya kuuliza kabla ya ARVs watu walikufa kwa nini,uliza kabla ya HIV watu walikufa kwa nini,hapo ndipo utakua umetenda haki ili kuweza kuupata ukweli halisi.
 
I got you,ndo maana nikasema kuna kamchezo hapa kamechezwa
 
Malaria hiyo kila mtu anatembea nayo
 
Ngoma ni kitu ingine mjomba!! tema mate chini ibilisi akupite.
 
I got you,ndo maana nikasema kuna kamchezo hapa kamechezwa
Ni kweli kuna kamchezo kamechezeka...lakini pamoja na hayo,tambua ukweli kwamba kwenye hako kamchezo hakuna kijidudu chenye uwezo wa kusababisha ukimwi,yaani hakuna HIV duniani,labda kwenye sayari nyingine,ila sio hapa duniani.

Pia tambua kwamba,wanaotumia ARVs ndio hupata zile dalili ambazo ndio husababisha vifo vyao baada ya kuzitumia kwa muda mrefu ambapo sisi ndio tunasema wamekufa kwa HIV/AIDS...ila kinachoua si HIV bali kinachoua kwa wale wanaotumia ARVs ni hizohizo ARVs...na wale ambao hawatumii ARVs hufa kwa matatizo mengine kabisa ambayo yalikuwepo tangu kabla ya kutangazwa kwa ama kuwepo kwa dhana ya HIV.

Kwani zamani tulikua hatufi?mbona watu wanajitoa ufahamu?...hata zamani kabla ya kuwepo kwa dhana ya HIV watu walikua wanakufa kwa kukonda sana,kutapika,kuharisha na dalili zote ambazo leo hii ndio tunaambiwa ni HIV/AIDS....tatizo la watu wengi hawapendi kushughulisha bongo zao kufiri nje ya kile walichoambiwa....

Hata inapotokea mikanganyiko kama hii watu bongo zao bado zinalala tu,hawatakia kujiuliza na wala hawashangai kwanini mikanganyiko hii inatokea....na badala yake watasingizia mambo mengine kabisa ambayo hayahusiki...mfano utasikia wanamhusisha Mungu,mara wanasema ni bahati tu...mara wanaema hakuna michubuko nk nk....

Mpaka pale watu watakapoanza kutumia ubongo kufikiri ndipo watakapoanza kuelewa ukweli ulivyo.
 
umeisikia ile case ya mtu kanywa arv kwa miaka 7 then akapima akakutwa hana hiv
 
Kaka vp ulimtafuta huyu toinyo anaepigania kutuonesha mwisho wa fikra zake?
 
Endelea na huo utaratibu wako, ipo siku utaelewa.
 
umeisikia ile case ya mtu kanywa arv kwa miaka 7 then akapima akakutwa hana hiv
mbona kesi kama hizo ndio nyingi sana kuliko vile tunavyoambiwa?...mimi nimeshakutana nazo sana na zipo sana mitaani ila watu hawana muda wa kufuatilia...infact hivyo ndio inakiwa iwe kwakua ukweli ni kinyume na vile tulivyoambiwa.
 
mbona kesi kama hizo ndio nyingi sana kuliko vile tunavyoambiwa?...mimi nimeshakutana nazo sana na zipo sana mitaani ila watu hawana muda wa kufuatilia...infact hivyo ndio inakiwa iwe kwakua ukweli ni kinyume na vile tulivyoambiwa.
sasa kama mtu kanywa ARV miaka saba then kakutwa hana ngoma na wewe unasema ARV ndo zinazoua watu how come huyo wa kuzinywa miaka saba akutwe bila hizo madhara
 
@karucee njoo huku ujionee miujiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…