Mwana nitoe tongotongo,soft sex ikoje hiyo?.Acha ulongo wewe ? Ulitembea nao barabarani labda. Hapa ninamaanisha kufanya nao mapenzi. Hard sex.
Hujapata ngoma wew, tuulize sisi tunaoujua mziki wake[emoji19]Huyo HIV virus ni kwel yupo na katika strain zake hakuna hata mmoja anayefanya madhara Kwa mwanadamu so HIV/AIDS kucause AIDS ni haoux.
docs.google.com
forms.gle
Habari wanaJF,
Mods nawaombeni kwa nia ya dhati naombeni huu uzi ubakie hapa kwenyw jukwaa la habari na hoja mchanganyiko.....kwani hapa ni jukwaa la ujumla hoja mchanganyiko...
Tuanze hivi...
Unajua hii dunia biashara za makampuni makubwa zimekua haziishi
Toka lini Ukosefu wa kinga mwilini ukaambukizwa?
Toka lini ukose kinga mwilini ishuke badala ya kuambiwa ule vyakula vya kupandisha kinga unaambiwa meza dawa maisha yako yote
Haya mambo toka huu mwaka uanze nimeanza kuhisi ni biashara tu hapa
Hivi mimi niwe na upungufu wangu wa kinga ya mwili kwa kua nazembea kula vizur nikamwambukize mpenzi wangu ambaye anajijali na anakula mlo kamili na matunda?
Hakuna kitu kinachoitwa HIV dunia hii ukimwi upo tena kwa wazembe wa kutokula vizuri, lakini sio ukimwi wa kuambukizwa?
Utapiamlo wangu unaambukizwaje kwako?ni mfano tu
Magonjwa mengi virus wake huonekana maabara huyu kirusi gani hajawahi kuonekana kwa macho?
Dawa za arvs nahisi ni biashara tu ya makampuni.
Tujiongeze kidogo
Karibuni tulijadili hili
My take: wale wenye mawazo sijui ukimwi ulitengenezwa maabara,huu uzi hauwahusu,wale wenye mawazo mgando kwamba ukimwi ni adhabu ya mungu huu uzi hautowahusu, watu wa theory za gizani pia hamuhitajiki...hapa tunataka tujadili hoja kwa hoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa elimu basiiElimu, Elimu, Elimu..
huelewi hata maana ya UKIMWI? Kwa maana ya kirefu.. Kuna aliye sema Ukimwi unaua? Nyie Majitu msio taka kuelimika sijui mmetokea wapi...
Toeni elimu hapaKimsboy... Subiri ukiwa Mwanaume ndo uandike mambo yanayohitaji Elimu.
Kwa sasa andika kwa mantiki ya kutafuta ueleweshwe nasio kuandika kwa mantiki ya kuwaelewesha watu.
Huu uzi unaonyesha kua Watu wanahitaj elimu hasa nyinyi vijana .
Hebu tueleze nini kulimpata Than mbeki, Mara ya tatu hii unatuuliza kama tunafahamu kilichompata. HatufahamuHizo ni propaganda tu za haohao. Unajua nini kilimpata THABO MBEKI baada ya kuwa kinyume na hizi story za HIV/AIDS?
We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
Kwanini nidungwe sindano? Ukimwi unaambukizwa kwa ngono zembeMuone BILLGATE akuchome hiyo sindano ya HIV ili utupe mrejesho maana hata mimi huwa siamini kama upo.
Nini sasa kiliua ndugu zangu 5 wa baba mmoja mama mmoja miaka ya '90?. Kwani waliugua sana na dalili zote za UKIMWI walikuwa nazo.Huyo HIV virus ni kwel yupo na katika strain zake hakuna hata mmoja anayefanya madhara Kwa mwanadamu so HIV/AIDS kucause AIDS ni haoux.
Hapo ndo jiulize kama ni ngonozembe waliwezaje kufa watu ambao ni ndugu. Je walikuwa wanashiriki ngono wao kwa wao. Ukiufuatilia huu ukimwi ulioibukia mkoani kagera ulikuwa ukiuwa watu kwa mfuatano wa familia moja na asilimia kubwa walio eneo hilo kwa wakati huo. Yaani anakufa dada mdogo wake anaemfuata akiwa tanga anapona anakufa mwingine anayemfuata mara ya tatu ilimradi tu naye yuko karibu na marehemuNini sasa kiliua ndugu zangu 5 wa baba mmoja mama mmoja miaka ya '90?. Kwani waliugua sana na dalili zote za UKIMWI walikuwa nazo.
Swali la msingi sana hili ...sasa kama mtu kanywa ARV miaka saba then kakutwa hana ngoma na wewe unasema ARV ndo zinazoua watu how come huyo wa kuzinywa miaka saba akutwe bila hizo madhara
Hao wanawake 40 ni waathirika wa nini tena ilhali umesema UKIMWI haupo?Hakuna kitu kama hicho nilishatembea na wanawake waathirika si chini ya 40 na hamna kitu seuze hao kumi???
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa katembeze huo mdeki kila mahali ... Baada ya huo utafiti utuambie ukimwi unaambukiza au vipi.!!Habari wanaJF,
Mods nawaombeni kwa nia ya dhati naombeni huu uzi ubakie hapa kwenyw jukwaa la habari na hoja mchanganyiko.....kwani hapa ni jukwaa la ujumla hoja mchanganyiko...
Tuanze hivi...
Unajua hii dunia biashara za makampuni makubwa zimekua haziishi
Toka lini Ukosefu wa kinga mwilini ukaambukizwa?
Toka lini ukose kinga mwilini ishuke badala ya kuambiwa ule vyakula vya kupandisha kinga unaambiwa meza dawa maisha yako yote
Haya mambo toka huu mwaka uanze nimeanza kuhisi ni biashara tu hapa
Hivi mimi niwe na upungufu wangu wa kinga ya mwili kwa kua nazembea kula vizur nikamwambukize mpenzi wangu ambaye anajijali na anakula mlo kamili na matunda?
Hakuna kitu kinachoitwa HIV dunia hii ukimwi upo tena kwa wazembe wa kutokula vizuri, lakini sio ukimwi wa kuambukizwa?
Utapiamlo wangu unaambukizwaje kwako?ni mfano tu
Magonjwa mengi virus wake huonekana maabara huyu kirusi gani hajawahi kuonekana kwa macho?
Dawa za arvs nahisi ni biashara tu ya makampuni.
Tujiongeze kidogo
Karibuni tulijadili hili
My take: wale wenye mawazo sijui ukimwi ulitengenezwa maabara,huu uzi hauwahusu,wale wenye mawazo mgando kwamba ukimwi ni adhabu ya mungu huu uzi hautowahusu, watu wa theory za gizani pia hamuhitajiki...hapa tunataka tujadili hoja kwa hoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani UKIMWI unaambukizwa kwa ngono zembe pekee?Hapo ndo jiulize kama ni ngonozembe waliwezaje kufa watu ambao ni ndugu. Je walikuwa wanashiriki ngono wao kwa wao. Ukiufuatilia huu ukimwi ulioibukia mkoani kagera ulikuwa ukiuwa watu kwa mfuatano wa familia moja na asilimia kubwa walio eneo hilo kwa wakati huo. Yaani anakufa dada mdogo wake anaemfuata akiwa tanga anapona anakufa mwingine anayemfuata mara ya tatu ilimradi tu naye yuko karibu na marehemu
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app