Virusi na UKIMWI ni ugonjwa feki? Kuna kitu sielewi...

Huyo HIV virus ni kwel yupo na katika strain zake hakuna hata mmoja anayefanya madhara Kwa mwanadamu so HIV/AIDS kucause AIDS ni haoux.
 
Ukimwi na hii corona ni magonjwa ambayo yana mambo yenye utata utata sana ndani yake.
 
Huyo HIV virus ni kwel yupo na katika strain zake hakuna hata mmoja anayefanya madhara Kwa mwanadamu so HIV/AIDS kucause AIDS ni haoux.
Hujapata ngoma wew, tuulize sisi tunaoujua mziki wake[emoji19]
 
I'm doing a simple pilot survey (questionnaire)
At ur free time may u participate by answering the questions.

It's a 2 minutes short Questionnaire form.

I would much Appreciate your participation.

Please share with your friends


Or

 
Lost to follow huyu anahitaji msaada
 
Elimu, Elimu, Elimu..
huelewi hata maana ya UKIMWI? Kwa maana ya kirefu.. Kuna aliye sema Ukimwi unaua? Nyie Majitu msio taka kuelimika sijui mmetokea wapi...
Toa elimu basii
 
Kimsboy... Subiri ukiwa Mwanaume ndo uandike mambo yanayohitaji Elimu.

Kwa sasa andika kwa mantiki ya kutafuta ueleweshwe nasio kuandika kwa mantiki ya kuwaelewesha watu.



Huu uzi unaonyesha kua Watu wanahitaj elimu hasa nyinyi vijana .
Toeni elimu hapa
 
Hebu tueleze nini kulimpata Than mbeki, Mara ya tatu hii unatuuliza kama tunafahamu kilichompata. Hatufahamu
 
Muone BILLGATE akuchome hiyo sindano ya HIV ili utupe mrejesho maana hata mimi huwa siamini kama upo.
Kwanini nidungwe sindano? Ukimwi unaambukizwa kwa ngono zembe
 
Huyo HIV virus ni kwel yupo na katika strain zake hakuna hata mmoja anayefanya madhara Kwa mwanadamu so HIV/AIDS kucause AIDS ni haoux.
Nini sasa kiliua ndugu zangu 5 wa baba mmoja mama mmoja miaka ya '90?. Kwani waliugua sana na dalili zote za UKIMWI walikuwa nazo.
 
Nini sasa kiliua ndugu zangu 5 wa baba mmoja mama mmoja miaka ya '90?. Kwani waliugua sana na dalili zote za UKIMWI walikuwa nazo.
Hapo ndo jiulize kama ni ngonozembe waliwezaje kufa watu ambao ni ndugu. Je walikuwa wanashiriki ngono wao kwa wao. Ukiufuatilia huu ukimwi ulioibukia mkoani kagera ulikuwa ukiuwa watu kwa mfuatano wa familia moja na asilimia kubwa walio eneo hilo kwa wakati huo. Yaani anakufa dada mdogo wake anaemfuata akiwa tanga anapona anakufa mwingine anayemfuata mara ya tatu ilimradi tu naye yuko karibu na marehemu

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Kitaalamu kabisa scientists wanaweza kuisolate kidudu either cha bakteria au kirusi kwenye damu ya mgonjwa anaeumwa tatizo husika mfano ukisikia mtu ana kipindupindu means unaweza isolate vibrio cholerae ambae ni bacteria wake bt Kwa ukimwi huwez isolate HIV na hawajawahi fanya hvyo...UKIMWI upo tena hata bfr ya kusema inasababishwa na HIV.
 
Kinachokuua siyo ukimwi, Bali magonjwa mengine huko baada ya Kinga za mwili kushuka Sana. Ndio maana ARVs zipo ili kupandisha Kinga.
 
sasa kama mtu kanywa ARV miaka saba then kakutwa hana ngoma na wewe unasema ARV ndo zinazoua watu how come huyo wa kuzinywa miaka saba akutwe bila hizo madhara
Swali la msingi sana hili ...

Sijaona jawabu lake
 
Sasa katembeze huo mdeki kila mahali ... Baada ya huo utafiti utuambie ukimwi unaambukiza au vipi.!!
 
Kwani UKIMWI unaambukizwa kwa ngono zembe pekee?
 
Kwahiyo ulitaka kumuona Virus kwa macho? Na udogo wake!
Vipi bacteria anayesababisha kipindupindu ulimuona?

Na nani kasema upungufu wa kinga ndio unaoambukizwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…