Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Kama uko maeneo ya joto kama dar fanya ivi agiza Serengeti lager ya baridi na Kilo moja ya Mdudu na Ugali kidogo afu uje kuleta mrejesho apaUkitaka kujua kama ngurue ni haram chukua kipande cha nyama yake ingiza kwenye chombo, ingiza Coca-Cola thn iache kama daika 45, utakachokikuta humo huzoweza kumla tena huyo mdudu