Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
Kwa mawazo yangu ya huku Haiti ndani ndani China wanafanya depopulation .....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli jamii forum Kuna wakati baadhi ya members wake hujitoa ufahamu kabisa . Mkuu ivi kweli unaamini Gastric juice Ni sawa na coca cola ?Ukitaka kujua kama ngurue ni haram chukua kipande cha nyama yake ingiza kwenye chombo, ingiza Coca-Cola thn iache kama daika 45, utakachokikuta humo huzoweza kumla tena huyo mdudu
Siku utakayomla ndipo utaelewa ni kwann hii kitu ni haramu tu kwa wale ambao hawajawahi kuigusa.......No, mm sitamani kula ngurue naona kama uchafu mkuu