Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Tanzania wa Holili

Wakenya hawatutishi kabisa tunawamudu sana tu na kuanzia kesho tunaanza kuwaorodhesha wote walioko TZ ili ikibidi tuwarudishe kwao. Jino kwa jino hawawezi kutufundisha jinsi ya kushughulikia corona nchini mwetu.
Trust me. Sisi ndio tutaumia. Bidhaa za kutoka Kenya ni nyingi sana tunazitegemea Tz. Demand Vs supply, bei itapanda ya bidhaa nyingi kutoka Kenya. Mjiandae
 
Hivi nchi A inaposema inafunga mpaka wake na nchi B na C, sasa kama nchi B ikisema haijafunga mpaka na nchi jirani (A) na ikaendelea kuruhusu bidhaa, mizigo, nk kuja nchini mwake wakati huo vitu kutoka nchini mwake kwenda nchi A haviruhusiwi, hapo si kuifaidisha nchi A kibiashara wakati yenyewe inaumia? Hivyo basi kama A anafunga mpaka, B naye akifunga anakuwa kafanya uamuzi wa busara, ni mtazamo tu .
 
Trust me. Sisi ndio tutaumia. Bidhaa za kutoka kenya ni nyingi sana tunazitegemea tz. Demand vs supply, bei itapanda ya bidhaa nyingi kutoka kenya. Mjiandae
Bidhaa gani za muhimu ambazo hazipatikani SA? Au unafikiri Blue Band? Maziwa yao tuliwapiga marufuku na hayapo tena. Nakuhakikishia wao ndiyo wataumia sana. Just wait and see!
 
Soko letu kwao zaidi ni chakula. Watanunulia uganda. Tanzania na Uganda bidhaa mbalimbali za viwandani zinatoka kenya. Kwa Tz backup plan yetu ni ipi?
Una hoja ya msingi mkuu, ila nafikili viongozi wamefikilia hilo kabla hawajatoa maamuzi
 
Bidhaa gani za muhimu ambazo hazipatikani SA? Au unafikiri Blue Band? Maziwa yao tuliwapiga marufuku na hayapo tena. Nakuhakikishia wao ndiyo wataumia sana. Just wait and see!
Binafsi niko sawa kabisa. Sina tatizo hata bei ipande namna gani. Lakini hata hio blue band kama itapanda bei hauoni kuna watu wataumia

Sukari tu kuna watu wanahaha sana. Kwa hio bidhaa moja essential inaweza kuathiri watu wengi. Anyway, let us hope hakuna kitakachoharibika. That is our prayer. Mateso ya mtanzania yeyote ni yetu sote.
 
Kwanini huoni kama bidhaa ya Kenya itakosa soko
Mfano mdogo tu amesema Magu2016 wa blueband. Tanzania hatuna kiwanda cha blueband. Kuna pia raw materials nyingi zinapita mombasa. Japo wanaweza switch to Dar port, tuombe transition iwe fast and smooth.

Pia soaps na medicines kama inavyosema kwa hili gazeti kwamba "Major imports were medicines and soaps."
Tanzania again in trade deficit with Kenya after four years of
 
Wakenya wao ndiyo wameanza wanataka watufundishe jinsi ya kupambana na corona nchini mwetu! Hilo hatukubali hata chembe!
 
Trust me. Sisi ndio tutaumia. Bidhaa za kutoka kenya ni nyingi sana tunazitegemea tz. Demand vs supply, bei itapanda ya bidhaa nyingi kutoka kenya. Mjiandae
Wewe elewa Kenya alikuwa kashapata soko la uhakika TZ lakini TZ anaweza kununua hizo bidhaa somewhere else, sasa nani ataumia hapo?
 
Hapo naona tunashindwa kujua kitakwimu za kiuchumi nani anamtegemea mwingine kifaida zaidi
 
Wewe elewa Kenya alikuwa kashapata soko la uhakika TZ lkn TZ anaweza kununua hizo bidhaa somewhere else, sasa nani ataumia hapo?
Naona sabuni na dawa tunategemea kenya. Na huu ndio muda mahitaji ya sabuni na dawa yako juu
 
Hapo naona tunashindwa kujua kitakwimu za kiuchumi nani anamtegemea mwingine kifaida zaidi
Kwa mwaka huu na mwaka jana, sisi tumenunua vitu vingi zaidi kutoka kenya zaidi ya wao kununua kwetu Tz. Article hii hapa:

===
Dar es Salaam. After recording trade surpluses for three consecutive years, the fall of exports has turned Tanzania’s trade with Kenya into a deficit.

According to Tanzania Revenue Authority (TRA) and Bank of Tanzania (BoT) computations, provisional data shows that Tanzanian trade with Kenya recorded a deficit of $35.8 million in 2018, down from a surplus of $90.2 million in 2017.

The last trade deficit between Tanzania and Kenya was recorded in 2014, showing a deficit of $208.7 million before jumping into a surplus of $491.7 million in 2015!

However, the trade surplus dropped to $46.1 million in 2016 due to a dramatic fall in exports to $313.8 million, down from $731.4 million in 2015.

The computations also show that, in 2018, Tanzanian exports to Kenya were valued at $213.7 million, lower than the $291.5 million recorded in 2017. On the other hand, imports increased to $249.5 million in 2018, up from $201.3 million in 2017.

The provisional data shows that, regionally, the trade balance between Tanzania and the other East African Community (EAC) states continued to remain on the surplus side for four consecutive years.

In 2018, Tanzania’s trade with EAC had a surplus of $141.8 million, lower than the $193.3 million surplus recorded in 2017.

Tanzania’s trade deficit with the other EAC states was only recorded in 2014, at $108.3 million before jumping into a surplus of $581.7 million in 2015 - and $130.3 million in 2016.

Kenya is currently the leading destination and major source of Tanzania’s intra-EAC exports and imports respectively - followed by Uganda.

Tanzania’s major exports in the EAC region were beans, maize, sisal rope, tea and mosquito nets. Major imports were medicines and soaps.

All in all, Tanzania has continued to record trade surpluses with the other EAC member states, including especially Uganda, Rwanda and Burundi.

According to the computations, the largest value in terms of a trade surplus in 2018 was recorded with Rwanda ($78.2 million), followed by Uganda ($52.6 million). Burundi was at the bottom, with a trade surplus of $46.8 million in favour of Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…