DocJayGroup
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 1,654
- 3,346
Kuna vitu vingi tunategemea viwanda vya Kenya. Made in Kenya, Tanzania viko vingi sana. Vitu vitapanda bei mno wakiendeleza huo msimamoWafunge tu vitu tuvile wenyewe vitatutosha tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna vitu vingi tunategemea viwanda vya Kenya. Made in Kenya, Tanzania viko vingi sana. Vitu vitapanda bei mno wakiendeleza huo msimamoWafunge tu vitu tuvile wenyewe vitatutosha tuu
Trust me. Sisi ndio tutaumia. Bidhaa za kutoka Kenya ni nyingi sana tunazitegemea Tz. Demand Vs supply, bei itapanda ya bidhaa nyingi kutoka Kenya. MjiandaeWakenya hawatutishi kabisa tunawamudu sana tu na kuanzia kesho tunaanza kuwaorodhesha wote walioko TZ ili ikibidi tuwarudishe kwao. Jino kwa jino hawawezi kutufundisha jinsi ya kushughulikia corona nchini mwetu.
No it is not. We depend on Kenyan factories for a lot of our goods.Its a good move.
Tunategemeana mkuu, hata wao watakosa soko letu.No it is not. We depend on kenyan factories for a lot of our goods.
Sahau hiloSoon huyu atatumbuliwa, kwanza alijitangaza ana corona, pili hafuati njia ya mkuu wa nchi, kwa picha ninayoiona hatadumu
Soko letu kwao zaidi ni chakula. Watanunulia Uganda. Tanzania na Uganda bidhaa mbalimbali za viwandani zinatoka Kenya. Kwa Tz backup plan yetu ni ipi?Tunategemeana mkuu, hata wao watakosa soko letu.
Bidhaa gani za muhimu ambazo hazipatikani SA? Au unafikiri Blue Band? Maziwa yao tuliwapiga marufuku na hayapo tena. Nakuhakikishia wao ndiyo wataumia sana. Just wait and see!Trust me. Sisi ndio tutaumia. Bidhaa za kutoka kenya ni nyingi sana tunazitegemea tz. Demand vs supply, bei itapanda ya bidhaa nyingi kutoka kenya. Mjiandae
Una hoja ya msingi mkuu, ila nafikili viongozi wamefikilia hilo kabla hawajatoa maamuziSoko letu kwao zaidi ni chakula. Watanunulia uganda. Tanzania na Uganda bidhaa mbalimbali za viwandani zinatoka kenya. Kwa Tz backup plan yetu ni ipi?
Kwanini huoni kama bidhaa ya Kenya itakosa sokoKuna vitu vingi tunategemea viwanda vya Kenya. Made in kenya tanzania viko vingi sana. Vitu vitapanda bei mno wakiendeleza huo msimamo
Binafsi niko sawa kabisa. Sina tatizo hata bei ipande namna gani. Lakini hata hio blue band kama itapanda bei hauoni kuna watu wataumiaBidhaa gani za muhimu ambazo hazipatikani SA? Au unafikiri Blue Band? Maziwa yao tuliwapiga marufuku na hayapo tena. Nakuhakikishia wao ndiyo wataumia sana. Just wait and see!
Mfano mdogo tu amesema Magu2016 wa blueband. Tanzania hatuna kiwanda cha blueband. Kuna pia raw materials nyingi zinapita mombasa. Japo wanaweza switch to Dar port, tuombe transition iwe fast and smooth.Kwanini huoni kama bidhaa ya Kenya itakosa soko
Wakenya wao ndiyo wameanza wanataka watufundishe jinsi ya kupambana na corona nchini mwetu! Hilo hatukubali hata chembe!Binafsi niko sawa kabisa. Sina tatizo hata bei ipande namna gani. Lakini hata hio blue band kama itapanda bei hauoni kuna watu wataumia. Sukari tu kuna watu wanahaha sana. Kwa hio bidhaa moja essential inaweza kuathiri watu wengi. Anyway, let us hope hakuna kitakachoharibika. That is our prayer. Mateso ya mtanzania yeyote ni yetu sote.
Huo ni utotoYeye Kenyatta ndiyo ameanza kufunga mpaka ghafla usiku na sisi tumeamua tufunge kama alivyofanya yeye!
Wewe elewa Kenya alikuwa kashapata soko la uhakika TZ lakini TZ anaweza kununua hizo bidhaa somewhere else, sasa nani ataumia hapo?Trust me. Sisi ndio tutaumia. Bidhaa za kutoka kenya ni nyingi sana tunazitegemea tz. Demand vs supply, bei itapanda ya bidhaa nyingi kutoka kenya. Mjiandae
Naona sabuni na dawa tunategemea kenya. Na huu ndio muda mahitaji ya sabuni na dawa yako juuWewe elewa Kenya alikuwa kashapata soko la uhakika TZ lkn TZ anaweza kununua hizo bidhaa somewhere else, sasa nani ataumia hapo?
Acha tuwe watoto kwa hili. Jino kwa jino.Huo ni utoto
Sijui una umri gani ndugu mshabikiAcha tuwe watoto kwa hili. Jino kwa jino.
Kwa mwaka huu na mwaka jana, sisi tumenunua vitu vingi zaidi kutoka kenya zaidi ya wao kununua kwetu Tz. Article hii hapa:Hapo naona tunashindwa kujua kitakwimu za kiuchumi nani anamtegemea mwingine kifaida zaidi