Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Tanzania wa Holili

Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Tanzania wa Holili

Hahahaaaa..... hahahaaaa..... Wewe tuelimishe wana jf maana ulidandia comment ya mtu wakati wewe mwenyewe " ubongo wa kuku"

Mimi nimekubali kwenye uchumi ni sifuri sasa wewe mchumi first class huu ndio uwanja wako wa kujimwambafy.......Tanzania itapoteza nini?
Bwashee unachokiweza ni umbea wa kiwango cha akina chakubanga tu hapo lumumba. Hayo mengine waachie wenyewe. Usijifanye kutaka kuwa omniscient. Shukuru hata kwa kuwa political scientist 🤣 🤣
 
hii imenikumbusha kipindi kile ulizuka mvutano ambapo kenya walipiga marufuku magari ya utalii kuingia airport zao za kenya then Chuma kikapunguza safari za kq kutoka 42 mpaka 3 jamaa wakapiga magoti
 
Bwashee unachokiweza ni umbea wa kiwango cha akina chakubanga tu hapo lumumba. Hayo mengine waachie wenyewe. Usijifanye kutaka kuwa omniscient. Shukuru hata kwa kuwa political scientist 🤣 🤣
Bwashee mbona unakimbia swali......... Hahahaaaa..... Hahahaaaa......!

Ngoja tusubiri press ya Mbowe labda atatusaidia!
 
Mbona ili jambo kama lilikuepo ndugu? Au Mimi ndio sijaelewa? Mzee wangu huwa anafata mzigo Kenya kuleta mwanza, but imeshapita kama mwezi hivi Lori za Kenya haziruhusiwi kuja mwanza kutoka pale sirari.
Kinachofanyika ni hichi malori ya Tanzania yanaenda kuchukua mizigo iliyoshushwa pale mpakani ikitokea Kenya.
 
Bwashee mbona unakimbia swali......... Hahahaaaa..... Hahahaaaa......!

Ngoja tusubiri press ya Mbowe labda atatusaidia!
Bwashee! Wewe muwakilishe tu chakubanga hapa jamvini. Haya mengine huna uwezo nayo. It is not even worthy to spend time to explain some economic issues to you country bumpkin. 🤣 🤣
 
Kama wao wamefunga mpaka, iweje wanataka wenzao wafungue.......au hii korona huku bongoland haiwezi kuingia bali inaingia kenya pekee...
 
Sisi Ndio walaji

Tukikataa kununua ma blue band,Colgate,nido kutoka kenya atayapeleka wapi zaidi ya kupnguza uzalishaji viwandani
Sisi ni wauzaji sana kenya kuliko tunavyonunua hivyo walaji zaidi ni wao na sio sisi. Sisi ni wazalishaji zaidi.
 
Back
Top Bottom