Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo shaba waishushe pale tunduma au?Ikija deal ya nje ya nchi I always side with my country, kwahiyo ninasema, sawa sawa kabisa na tukitoka hapa bado Zambia.
Hatuwapimi madereva wenu na magari yenu hayaingii.Watanzania can you stop nonsense for a while and put your mind into work! All the time mizaha ushabiki! Kila mtu anajua! No wonder you are poor! Poverty starts on your brains.
Bwashee unachokiweza ni umbea wa kiwango cha akina chakubanga tu hapo lumumba. Hayo mengine waachie wenyewe. Usijifanye kutaka kuwa omniscient. Shukuru hata kwa kuwa political scientist 🤣 🤣Hahahaaaa..... hahahaaaa..... Wewe tuelimishe wana jf maana ulidandia comment ya mtu wakati wewe mwenyewe " ubongo wa kuku"
Mimi nimekubali kwenye uchumi ni sifuri sasa wewe mchumi first class huu ndio uwanja wako wa kujimwambafy.......Tanzania itapoteza nini?
Bwashee mbona unakimbia swali......... Hahahaaaa..... Hahahaaaa......!Bwashee unachokiweza ni umbea wa kiwango cha akina chakubanga tu hapo lumumba. Hayo mengine waachie wenyewe. Usijifanye kutaka kuwa omniscient. Shukuru hata kwa kuwa political scientist 🤣 🤣
ungekuwa unaacha wenye akili wa comments then wewe unakuja mwisho wa mjadala ili kuwaburudisha wenye akiliKenyatta atazalisha majambazi Yawe yanakuja kupora chakula usiku Tanzania
Jeshi la polisi kuweni makini
Aisee hii ni strategy nzuri sanaHujaelewa mchezo ndugu? Sisi tunaruhusu Wakenya waingie na hela yao wanunue wanachotaka waende kwao ila wasiingize mizigo yao (sabuni, dawa za meno n.k) Ina maana sisi tuwauzie ila wao wasituuzie.
Hii hatua mbona inaenda tofauti na hotuba ya rais? Au macho yangu?
Nyie si majeuri lazima mfe kwa utapiamlo shezyWatanzania can you stop nonsense for a while and put your mind into work! All the time mizaha ushabiki! Kila mtu anajua! No wonder you are poor! Poverty starts on your brains.
Bwashee! Wewe muwakilishe tu chakubanga hapa jamvini. Haya mengine huna uwezo nayo. It is not even worthy to spend time to explain some economic issues to you country bumpkin. 🤣 🤣Bwashee mbona unakimbia swali......... Hahahaaaa..... Hahahaaaa......!
Ngoja tusubiri press ya Mbowe labda atatusaidia!
Wewe umetumia hesabu gani mkuu?Loser ni Kenya hapa...
unatumia hesabu gani kuelewa hili!!?
HaHata mm akaikujibu nakupa offer ya dubai...
Mwekezaji anapataje hasara, anafunga anachukua capital yake anahamia nchi kwenda kuwekeza kwingine. Watu wanatafta wawekezaji halafu wewe uwafrastrate wakae?
Sisi ni wauzaji sana kenya kuliko tunavyonunua hivyo walaji zaidi ni wao na sio sisi. Sisi ni wazalishaji zaidi.Sisi Ndio walaji
Tukikataa kununua ma blue band,Colgate,nido kutoka kenya atayapeleka wapi zaidi ya kupnguza uzalishaji viwandani