Visa hivi ni vya kuvipa muda

Hapo nitaitafuta ya Joannah naogopa sana Horror movie siwezi kuangalia.....hiyo ya buried alive imetaka kuendana na Mr Harrigans phone kama umeiona,sio horror kiivyo ila ilinitisha tisha
Mr Harrigan's Phone nilishaeleza humu forum. Iko tofauti sana na Buried Alive kama ukiondoa concept ya kaburi.


So MARA unaiogopa?
 
Mr Harrigan's Phone nilishaeleza humu forum. Iko tofauti sana na Buried Alive kama ukiondoa concept ya kaburi.


So MARA unaiogopa?
Yap,siwezi angalia.....kumbe ulishaelezea sikuona uwe unanistua ukiweka vitu
 
Ni nzuri sana ila pia usibase sana za horror na genre zingine zenye story kali mfano mzuri "The platform"

Ni movie inahusu watu wenye makosa tofauti tofauti wanakutanishwa sehemu moja inaitwa Platform wanakuwa wanaishi humo shida ya hiyo sehemu changamoto yake chakula kimoja kinaanza kupewa level 1 mpaka kushuka chini so inafikia kwenye level ya mbali unakuta chakula kimeisha wanajikuta wakulana wenyewe ili wasurvive.

THE BANKER
Hii Inahusiana na miaka hiyo ya nyuma kipindi cha kuporomoka kwa uchumi nchini marekani watu weusi walikuwa hawana power ya kumiliki uchumi mkubwa kutokana na kunyimwa access hizo na watu weupe so kuna mtu mweusi alikuwa ana ndoto za kuwa tajiri but mjini aliopo ulikuwa hauna fursa za biashara.Anajikuta anaamia mjini mwingine anaanza kutengeneza mikakati ya namna ipi atapiga atafanya shughuli zake ili afikie hizo ndoto pamoja na kuwepo kwa vizingiti kwa upande wao wamablack. Unahisi jamaa atatumia technique gani kufikia hizo ndoto zake? utamu wa movie uko hapa
SteveMollel
 
The Platform nilishawahi kuiongelea peke yake kwenye thread nzima.
 
napata wapi hizi movie "Romeo must die"
"paris has fallen" season 2.
 
Nimetolea tu mfano nafikiri umeelewa lengo langu nini
Lengo lako ni kugusia pia genres zingine, na mimi hilo huwa nafanya. Threads mbili za nyuma nimefanya hivyo, na ya tatu nyuma ya hii nimeongelea movies kama THE CALL, WHEN I WAKE UP, THE GIRL ON THE TRAIN etc ambazo si horrors.
 
Alizikwa kavishwa shati bila sanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…