SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
- Thread starter
- #41
Sanda ni utamaduni na sio kila jamii ina huo utamaduni. Babu zangu walizikwa kwenye jeneza wakiwa wamevaa suti nyeusi na tai.Alizikwa kavishwa shati bila sanda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sanda ni utamaduni na sio kila jamii ina huo utamaduni. Babu zangu walizikwa kwenye jeneza wakiwa wamevaa suti nyeusi na tai.Alizikwa kavishwa shati bila sanda?
wao badala waseme jinamizi, wanasema popobawa 😂😂Nimetoka kuangalia hy movie ya MARA, 😂 kilichonichekesha ni majina ya huyo demon kulingana na eneo husika 👇
View attachment 3122581
View attachment 3122582
kuna mzigo wa moto sana naandaaNimetoka kuangalia hy movie ya MARA, 😂 kilichonichekesha ni majina ya huyo demon kulingana na eneo husika 👇
View attachment 3122581
View attachment 3122582
Telegram yako sasa hv mbona haifanyi kazi?sites ziko nyingi tu au unaweza kuja telegram.
Nilipumzika kidogo baada ya mambo ya vpn kuwa kikwazo. Watu wengi wakawa wanashindwa kuacess telegram.Telegram yako sasa hv mbona haifanyi kazi?
Sawa mkuu.Nilipumzika kidogo baada ya mambo ya vpn kuwa kikwazo. Watu wengi wakawa wanashindwa kuacess telegram.
Mtoto umemwachia nani?Telegram yako sasa hv mbona haifanyi kazi?
Baba yakoMtoto umemwachia nani?
Baba yake ndio mimi wewe unaenda wapi usiku huu?Baba yake