Visa na matukio (adventures) binafsi niliopitia maishani

Visa na matukio (adventures) binafsi niliopitia maishani

2) Nilimla Mke wa mjomba (ma mjomba) bila kutarajia.

Ma Mjomba alikua na mazowea ya kuniomba nimpeleke safari zakee, nilibahatika kupata kagari cha mkopo ningali kijana mbichi kabisa. Ikawa mke wa mjomba ni mazowea yake mara kwa mara kunitaka nimepeleke safari zake. Siku hiyo alikua anakwenda harusini akanambia nimpeleke kama saa moja usiku. Sikuwa na hiyana kwani kila nikimpeleka safari ananitilia mafuta.

Saa moja juu ya alama nimefika kwake nikaingia kumcheki, akanambia ningoje kidogo najitarisha, ile kidogo ndio ikawa kumngoja saa nzima au zaidi. Alipotoka ananukia huyo na kajipamba, kma ulivyo ujana, mimi mishipa ya kiume ikanichwz alipoingia ndani ya gari, nikawa sina raha, hata kusema nashindwa.

Mama mjomba; Leo mbona kimya sana?
Mimi; Sina la kusema, unatoka harusini saa ngapi?
Ma Mjomba; Mimi naona talala hukohuko, mjombako hayuko nisikuhangaishe usiku, harusi inaisha mapema tu lakini naona bora nikae huko mpaka kesho. Kwani wewe unaenda wapi ukinishusha mimi?
Mimi; Leo wikiendi naenda kujirusha, nimesikia kuna disko jipya coco beach.
Ma Mjomba: Si bora na mimi niende huko kuliko kulala harusini? Utanipitia?
Mimi kwa mshangao "utaenda disko?"
Ma mjomba; Kwanini nisende, si naenda na wewe?
Mimi; Mjomba anakuruhusu?
Ma mjomba; kwani wewe utamwambia? Kama humwambii nipitie na mimi nikajirushe.
Mimi; Naweza kukupitia kweli maana hata na mimi tapata partner.
Ma Mjomba; Kweli, nipitie kama saa tano hivi, utakuja?
Mimi; Takuja.
Ma Mjomba; basi takungoja, tukifika takuonesha saa tano kamili uningoje wapi na gari, maana sitaki mtu ajue nikitoka.

Ilipofika muda nikampitia nimepaki gari kama saa tano kasorobi hivi, basi tano na dakika kidogo ikawa kafika, peke yake, akafungua akaingia tukaondoka. Nikaenda nae, yalitokea huko haina haja ya kuyaandika, ikabidi nimgonge tu, maana alikua kishalewa na anataka haswa. Nikafunga macho nikala ngpoma, ikawa nimengea na yeye kanogea, ndio ukawa mchezo wetu kila tunapopata fursa tunakipiga.

Hiyo ni moja ya adventure ambayo siisahau maishani na kila nikimuona mwanamke anaejifanya ana heshima sana, huwa nanajisemea moyoni "ndio wale wale". Maana huyo mke wa mjomba nikikwambia ndio huyu nimemla sana, huwezi kuamini hata siku moja.
Laana sumakha we jamaa🤣
 
Kwa hiyo hata siku akiamua amle mama yake mzazi sawa tu kwa sababu itaingia huyo mshenzi kamkosea sana mjomba wake
Teh teh teh teh. Sasa ndugu yangu,iwe mtoto,hana adabu. Mwanamke,ndo kabisaaaa, hamnamo. Hapo wa kumlaumu ni nani sasa!
Ukikosea kuoa,ndo kwishnei. Itakuwa ya yale mhindi Boss wa juma,alietaka kuongalia mhogo John alioiba jikoni kwake.
Kwanza ukiona mwanamke ana mazoea ya kijinga jinga na marafiki zako au badhi ya ndugu,aise. Labda tu uanze kujifunza kukubaliana na hali halisi.
Sasa, mama yake ndo kitu gani?! Wakati siku hizi unashangaa eti mwanaume kazaa no mtoto wake wa kumzaa kabisa!

Hii dunia ya leo na uzao wake,iacheni tu. Utaishia bumbuwazi,suruhu ndo basi.
 
1) Dar - Mwanza kupitia Arusha.

Miaka mingi iliopita nikiwa kijana mdogo. Niliondoka na gari la mizigo linalotoka Dar kuelekea Mwanza, tulipita njia ya Arushabkwankuw njia ya Morogoro Dodoma uilikua haipitiki, kama sijakosea jina, "magole" palikua pamefurika hapapitiki.

Tukaenda salama Arusha na kuondoka kuelekea Singida kupitia Dareda - Katesh - Singida. Enzi hizo ilikua bado ni barabara ya tope, haina hata kipande cha lami.

Cha kuvutia ilikua ni kila aina ya wanyama tuliokutana na kupishana nao njiani.

Cha kuvutia zaidi ni wenyeji wa barabara Hiyo, wengine, hususan wa kiume, walikua hawavai nguo kabisa na tayari wana umri wa ujana, licha ya watoto. Baadhi ya wanawake walikua na kipande cha ngozi tu kinachoficha tupu zao kwa mbele. Kwa nyuma ilikua ni holela.

Tukafika Singida salama lakini hoi bin taabani. Mtu niliefatana nae alikua ni mwenyeji singida na tukaenda kwa Dada yake, tukapokewa vizuri sana tukachinjiwa kuku na wali wa mafuta.

Ilikua ni Mara yangu ya kwanza kuona kuku mkubwa namna hiyo. Mguu na paja tu niling'ang'ana kuumaliza.

Siku ya pili tukaondoka Singida, kwa bahati mbaya kabisa kabla ya kufika Sekenge gari likapinduka kwa kulala kiubavu, dereva alilipitisha pembeni ya barabara kumbe lilikua ni tope tupu lililokauka juu tu. Gari ikalala ubavu.

Mwenzangu akaumia mkono, ingawa hakuumia sana lakini ilibidi tumpeleke hospitali kwani alilia sana kwa maumivu.

Wenyeji wakatwambia hospitali ya karibu ni Kiomboi, tukapata gari (landrover) tukaikodi ikatupeleka kiomboi, moja kwa moja hospitali, wakamtazama na kumpiga sindano za maumivu, bahati alikua hajavunjika. Tukalala Kiomboi.

siku ya pili
tukaenda tukayanyua gari na mwenzangu akaondoka nalo, lilikua halijaumia kiasi cha kutokutembea lenyewe.

Mimi ikabidi nipande land-rover, kufika kimji kimoja kabla ya Sekenge nadhani panaitwa "Msisi" au "kwa Msisi", kama sijasahau. Hapo ikabidi tulale, Sekenge, njia ya zamani, mpya ilikua bado, wamezuia hakuna gari kupita.

Bahati nikapata gesti ya kupunguza machovu, kwenye hiyo gesti kulikua na mwanamke wa kizungu, alikua mkubwa kwangu kiunri lakini ni kijana. Alikua ni mtu wa ma adventure, ni Mjerumani. Alitoka Kiomboi na yeye amekwama hapo kwa Msisi. Tukajuana na kupiga stori, ikawa bahati na yeye alikua anaelekea Mwanza. Tukaunganisha tukawa safari moja.

Siku ya pili tukapata lifti ya gari la mizigo linaenda Nzega. Tukawa safari moja. Hapo Nzega ikabidi tulale. (To make the long story short), hapo Nzega ndio nilikula ngoma ya kwanzà ya kizungu, bila kuitongoza wala kuiambia chochote kuhusiana na mapenzi.

Uko na fideo tuone 😄
 
2) Nilimla Mke wa mjomba (ma mjomba) bila kutarajia.

Ma Mjomba alikua na mazowea ya kuniomba nimpeleke safari zakee, nilibahatika kupata kagari cha mkopo ningali kijana mbichi kabisa. Ikawa mke wa mjomba ni mazowea yake mara kwa mara kunitaka nimepeleke safari zake. Siku hiyo alikua anakwenda harusini akanambia nimpeleke kama saa moja usiku. Sikuwa na hiyana kwani kila nikimpeleka safari ananitilia mafuta.

Saa moja juu ya alama nimefika kwake nikaingia kumcheki, akanambia ningoje kidogo najitarisha, ile kidogo ndio ikawa kumngoja saa nzima au zaidi. Alipotoka ananukia huyo na kajipamba, kma ulivyo ujana, mimi mishipa ya kiume ikanichwz alipoingia ndani ya gari, nikawa sina raha, hata kusema nashindwa.

Mama mjomba; Leo mbona kimya sana?
Mimi; Sina la kusema, unatoka harusini saa ngapi?
Ma Mjomba; Mimi naona talala hukohuko, mjombako hayuko nisikuhangaishe usiku, harusi inaisha mapema tu lakini naona bora nikae huko mpaka kesho. Kwani wewe unaenda wapi ukinishusha mimi?
Mimi; Leo wikiendi naenda kujirusha, nimesikia kuna disko jipya coco beach.
Ma Mjomba: Si bora na mimi niende huko kuliko kulala harusini? Utanipitia?
Mimi kwa mshangao "utaenda disko?"
Ma mjomba; Kwanini nisende, si naenda na wewe?
Mimi; Mjomba anakuruhusu?
Ma mjomba; kwani wewe utamwambia? Kama humwambii nipitie na mimi nikajirushe.
Mimi; Naweza kukupitia kweli maana hata na mimi tapata partner.
Ma Mjomba; Kweli, nipitie kama saa tano hivi, utakuja?
Mimi; Takuja.
Ma Mjomba; basi takungoja, tukifika takuonesha saa tano kamili uningoje wapi na gari, maana sitaki mtu ajue nikitoka.

Ilipofika muda nikampitia nimepaki gari kama saa tano kasorobi hivi, basi tano na dakika kidogo ikawa kafika, peke yake, akafungua akaingia tukaondoka. Nikaenda nae, yalitokea huko haina haja ya kuyaandika, ikabidi nimgonge tu, maana alikua kishalewa na anataka haswa. Nikafunga macho nikala ngpoma, ikawa nimengea na yeye kanogea, ndio ukawa mchezo wetu kila tunapopata fursa tunakipiga.

Hiyo ni moja ya adventure ambayo siisahau maishani na kila nikimuona mwanamke anaejifanya ana heshima sana, huwa nanajisemea moyoni "ndio wale wale". Maana huyo mke wa mjomba nikikwambia ndio huyu nimemla sana, huwezi kuamini hata siku moja.

Takuja kuliwa tunu ya taifa kijana
 
Back
Top Bottom