manndungu
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 501
- 483
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tushapoteza mwanaume mmoja apa.Why mnifuate PM kunitukana as if nimetumia pesa zenu? Natumia simu yangu,najiwekea bundle,natumia muda wangu. Sijaomba anything from yu. Still watu wanakuja andika texts za hovyo kwangu. Its just ok hamna shida.
Nilipokuwa kidato cha tatu, tulimpoteza mwenzetu ziwa Victoria walipokuwa wanaogelea na wenzio hadi leo hii hajapatikana.Kuna watu humu ni wajuaji kweli,kanda ya ziwa kuna ushirikina wa mamba,mamba anakuchukua mzima mzima anakupeleka kwa aliyemtuma.
Mie mkuu naangalia how can I save my surrounding nimetokea jamii masikini so nawaza hata kuwajengea shule kama laizer anavyofanya kule kijijini kwao.pia wale Wazee Wangu waliovuka 65yrs kule kijijini niwe nawapa angalau posho ya kutumia kama lakairo anavyofanya kwao rorya.
Nawaza how can help like 1000 my village boys to get elimu mpaka chuo kikuu kwa nguvu zangu.
I feel urge to suffer just to rescue others mkuu. This is my burning desire. I'd like to make or leave a mark after my life hapa duniani.
Am ready to sacrifice my life for others this is my ambition.
So kila MTU ana dream zake just ni kuombeana tuzitimize usione za mwenzako hazifai za kwako ndo zinatakiwa kila MTU azifuate
Kuna Uzi alisema yeye ni mpare na huwa haendi kwao vile Kuna uchawi, hii story yake tena kakulia kigoma ujijiWewe jamaa umetelekeza uzi wako hapa wa kutunga umeenda kuanzisha mambo mengine tena huku ukisingizia kuumwa
Yaani huyu jamaa muongo haswa. Mara alikulia Sinza mara Wazungu. Hapa tunadanganywa tu nadhani stori imefika ukomo.
Chekini alichaonzisha jana tena
Thread 'Tufikie hatua tutumie akili na tuambiane ukweli. Wazungu wanatuua kirahisi tu' Tufikie hatua tutumie akili na tuambiane ukweli. Wazungu wanatuua kirahisi tu
Makubwa kwahyo na wewe unawaogopa watu.Napokea vitisho toka juzi.najitahidi but nakuwa na wakati mgumu. Na wengine mpaka wanaandika mambo ya kipuuzi. Kama unaona nimetunga achana na story. Na wala silazimishi mtu aamini.mi silipwi chochote kile na sihitaji pesa yà mtu.watu wajiheshimu hamjui changamoto za ku reveal haya mambo. Na msidhani wanapenda yajulikane
View attachment 1689137
We boya jiheshim hata kama kumkosoa mtu sio unamkosoa kikuda hivyo....kama nawew unaumizwa na uzi huu tafuta namna nyingine sio kumshambulia mleta uzi kama hayawaniWe jamaa hewa kweli. Sasa kama unapokea vitisho unajitesa na kujihangaisha kutuletea stories hizo ni nini sasa..si uache..au nayo ni usanii..mana kwa akili za kawaida kabisa wewe kama mlikula kiapo hakuna kutoa siri au mlikubaliana, wewe ni mwendawazimu kuja kutoa siri ambayo mmeshakubaliana, unless nayo hii ni usanii tu mnatumiana msg za uongo mnakuja kuweka humu
Nakumbuka hiyo ilikuwa nsumba secondary sweaNilipokuwa kidato cha tatu, tulimpoteza mwenzetu ziwa Victoria walipokuwa wanaogelea na wenzio hadi leo hii hajapatikana.
Tulimtafuta kwa wiki mbili ufukweni, tulitafuta wavuvi wakajaribu kuzama katika hiyo sehemu bila mafanikio.
Wenzio walipohojiwa, kuna mmoja alidai waliokuwa waogelea, aliona kitu kikamfyatua jamaa haraka na kikachora mstari kwenye maji mithili ya kitu kikiogelea na kuacha alama ya mstari, Huyu jamaa alipoona hilo tukio hakusema hata kwa wenzio ila tulipokuja kugundua kuwa fulani hayupo kesho yake ndio wakatafutwa watu waliokuwa wanaogelea naye.
Wazazi wake walipewa taarifa wakapiga kambi ufukweni pamoja na uongozi wa shule na kufanya mambo ya kitamaduni ili aweze kupatikana lakini hakuna kilicho zaa matunda.
Mwishowe walikunaliana na tukio na kuondoka kurudi nyumbani na sisi shuleni tukaendelea na ishu za shule
Nikiunganisha dot za hiz stori natapa picha fulani
Karibu sana .once you've the same common destination you can be one thingMkuu una mawazo kama yangu
Kama vipi walete Hao walikuwa kukutukana si wasubirie ama hawana kazi za kufanya kazi yao ni kusoma nyuzi za kichawi tu. Kama wanataka kuburudika kuna viburudishoWhy mnifuate PM kunitukana as if nimetumia pesa zenu? Natumia simu yangu,najiwekea bundle,natumia muda wangu. Sijaomba anything from yu. Still watu wanakuja andika texts za hovyo kwangu. Its just ok hamna shida.
Huyu jamaa kimeo, Hayo matukio anayosimulia ni ya kufikirika. Ni uzushi tu anzia tukio la ziwani kumtosa mwenzao na kukamatwa na kuteswa na watu wasiojulikana kongo. Uzushi mtupu.Kuna Uzi alisema yeye ni mpare na huwa haendi kwao vile Kuna uchawi, hii story yake tena kakulia kigoma ujiji
Ndio hivyo classmate wangu, pia bweni mate wangu alipotea kwa njia hiyoNakumbuka hiyo ilikuwa nsumba secondary swea
Tuunde genge letu la washirikina tuliite shirk gangKaribu sana .once you've the same common destination you can be one thing
[emoji4][emoji4][emoji4] mekumiss pia mrembo.BabY miss u.
Kuanzia rais msanii mpaka wananchi wasanii😀Dah sijaona nchi ina wasanii kama Tz.
Kuanzia rais msanii mpaka wananchi wasanii😀