Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

Nina homa Kali toka jana. Hata usiku sikuweza lala. Nikiwa vizuri ntaendelea.leo sijaweza enda hata kazini.

Wewe jamaa umetelekeza uzi wako hapa wa kutunga umeenda kuanzisha mambo mengine tena huku ukisingizia kuumwa

Yaani huyu jamaa muongo haswa. Mara alikulia Sinza mara Wazungu. Hapa tunadanganywa tu nadhani stori imefika ukomo.

Chekini alichaonzisha jana tena

Thread 'Tufikie hatua tutumie akili na tuambiane ukweli. Wazungu wanatuua kirahisi tu' Tufikie hatua tutumie akili na tuambiane ukweli. Wazungu wanatuua kirahisi tu
 
Kwamba nimtoe maza, akawe msukule huko chini ya ziwa huku mimi nakula goodtime, wakati kahangaika na mimi miezi 9, kaniza kwa uchungu(wewe ukitaka ujue uchungu wake imagine size ya K halaf na ukubwa wako akakutolea hapa). Kakunyonyesha, kakuosha mavi yako, kahangaika kwa dhiki zote. Halafu leo nimtoe. Acha niwe tu na maisha ya kukopa vocha, utajiri wa hivyo NEVER.
Distant Relatives hii ni album moja kali sana
 
Back
Top Bottom