Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

Kuna watu humu ni wajuaji kweli,kanda ya ziwa kuna ushirikina wa mamba,mamba anakuchukua mzima mzima anakupeleka kwa aliyemtuma.
Nilipokuwa kidato cha tatu, tulimpoteza mwenzetu ziwa Victoria walipokuwa wanaogelea na wenzio hadi leo hii hajapatikana.

Tulimtafuta kwa wiki mbili ufukweni, tulitafuta wavuvi wakajaribu kuzama katika hiyo sehemu bila mafanikio.

Wenzio walipohojiwa, kuna mmoja alidai walipokuwa wanaogelea, aliona kitu kikamfyatua jamaa haraka na kikachora mstari kwenye maji mithili ya kitu kikiogelea na kuacha alama ya mstari, Huyu jamaa alipoona hilo tukio hakusema hata kwa wenzio ila tulipokuja kugundua kuwa fulani hayupo kesho yake ndio wakatafutwa watu waliokuwa wanaogelea naye.

Wazazi wake walipewa taarifa wakapiga kambi ufukweni pamoja na uongozi wa shule na kufanya mambo ya kitamaduni ili aweze kupatikana lakini hakuna kilicho zaa matunda.

Mwishowe walikubaliana na tukio na kuondoka kurudi nyumbani na sisi shuleni tukaendelea na ishu za shule

Nikiunganisha dot za hiz stori natapa picha fulani
 

Mkuu una mawazo kama yangu
 
Kuna Uzi alisema yeye ni mpare na huwa haendi kwao vile Kuna uchawi, hii story yake tena kakulia kigoma ujiji
 
Makubwa kwahyo na wewe unawaogopa watu.
 
We boya jiheshim hata kama kumkosoa mtu sio unamkosoa kikuda hivyo....kama nawew unaumizwa na uzi huu tafuta namna nyingine sio kumshambulia mleta uzi kama hayawani
 
Nakumbuka hiyo ilikuwa nsumba secondary swea
 
Why mnifuate PM kunitukana as if nimetumia pesa zenu? Natumia simu yangu,najiwekea bundle,natumia muda wangu. Sijaomba anything from yu. Still watu wanakuja andika texts za hovyo kwangu. Its just ok hamna shida.
Kama vipi walete Hao walikuwa kukutukana si wasubirie ama hawana kazi za kufanya kazi yao ni kusoma nyuzi za kichawi tu. Kama wanataka kuburudika kuna viburudisho
 
Kuna Uzi alisema yeye ni mpare na huwa haendi kwao vile Kuna uchawi, hii story yake tena kakulia kigoma ujiji
Huyu jamaa kimeo, Hayo matukio anayosimulia ni ya kufikirika. Ni uzushi tu anzia tukio la ziwani kumtosa mwenzao na kukamatwa na kuteswa na watu wasiojulikana kongo. Uzushi mtupu.

Huu uzi huyu Chizi Maarifa ndio kauacha alishajua wamemshtukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…