Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

Kuna channel YouTube inaitwa davista mata media naona ndio anafanya kipindi na huyo jamaa Musa chesa.
wewe unamfahamu vizuri Musa chesa?
 
Unaandika na kujijibu mwenyewe!!!!!
 
Duuuuh kumbe issue ya mtoto wa mkubwa ili trend sana na kuna msanii aliwahi kuimba.
 
Ya kusadikika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…