Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Mimi intelli Kama nijulikanavyo ni mzee wa kauli ya "I mean no malice to nobody" - ila nilijuta Baada ya kwenda kumtembelea Jamaa yangu wa mkoa fulani.
Aisee Kuna watu wanapenda Shari na ugomvi Kama vile ni chakula, nami nikaona SI mbaya nikishare nanyi niliyo yaona huko. Namnukuu
Kisa Cha kwanza-01
Ila jaman hawa wapangaji wenzangu wa mwisho wa reli wamezidi,khaaaa nimewavulieni kofiaaa 😂😂😂
Jana saa saba usiku kapokelewa mwingine kaja na basi la Adventure ko jumla wamefikia 18,sasa wakati anaingia si nikaguna weeeee wacha nichezee mitusi 😂😂.Naambiwa dume zima silali nafuatilia mambo ya watu.
Lakini jamani nyie wenyewe fikirieni,watu 18 chumba kimoja 😳.Asubuhi sasa wakiwa wanatoka nje weee unaweza sema basi la kigango cha mtakatifu mama jusi wa mashariki linashusha wanakwaya 😂😂
Huyo mmoja ndo anajifanya kimbele mbele kila akiniona ananisonya.Na kidevu chake kirefu utadhani karani wa TANU.
Usiku sasa wakiwa wamelala joto,hawana feni basi kila mtu anajipepea na kipande cha box,hizo kelele unaweza hisi kiwanda cha karatasi kipo chumbani.
Sasa hivi wamejazana hapa uwani wananisikilizia niropoke wanidunde,na mie nimejikausha kimyaaaa nakula zangu chips kuku na pepsi mbembeni huku najiimbia ule wimbo baby punguza raha nakuwa chibonge nanenepaaa😊.Najua roho zinawauma ukizingatia jioni niliona walibandika dagaa na niliwatia michanga 🤸♀️🤸♀️🤸♀️