Visa nilivyokutana navyo, baada ya kumtembelea rafiki yangu mpenda matatizo

Mimi intelli Kama nijulikanavyo ni mzee wa kauli ya "I mean no malice to nobody" - ila nilijuta Baada ya kwenda kumtembelea Jamaa yangu wa mkoa fulani.

Aisee Kuna watu wanapenda Shari na ugomvi Kama vile ni chakula, nami nikaona SI mbaya nikishare nanyi niliyo yaona huko. Namnukuu

Kisa Cha kwanza-01
Ila jaman hawa wapangaji wenzangu wa mwisho wa reli wamezidi,khaaaa nimewavulieni kofiaaa 😂😂😂
Jana saa saba usiku kapokelewa mwingine kaja na basi la Adventure ko jumla wamefikia 18,sasa wakati anaingia si nikaguna weeeee wacha nichezee mitusi 😂😂.Naambiwa dume zima silali nafuatilia mambo ya watu.

Lakini jamani nyie wenyewe fikirieni,watu 18 chumba kimoja 😳.Asubuhi sasa wakiwa wanatoka nje weee unaweza sema basi la kigango cha mtakatifu mama jusi wa mashariki linashusha wanakwaya 😂😂

Huyo mmoja ndo anajifanya kimbele mbele kila akiniona ananisonya.Na kidevu chake kirefu utadhani karani wa TANU.

Usiku sasa wakiwa wamelala joto,hawana feni basi kila mtu anajipepea na kipande cha box,hizo kelele unaweza hisi kiwanda cha karatasi kipo chumbani.

Sasa hivi wamejazana hapa uwani wananisikilizia niropoke wanidunde,na mie nimejikausha kimyaaaa nakula zangu chips kuku na pepsi mbembeni huku najiimbia ule wimbo baby punguza raha nakuwa chibonge nanenepaaa😊.Najua roho zinawauma ukizingatia jioni niliona walibandika dagaa na niliwatia michanga 🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
View attachment 2639229
Humo humo ndani mnasajili na laini
 
Kisa Cha 2.- Jamaa na mama mwenye nyumba.

Jamani wapangaji wenzangu wenye uadilifu uliotukuka naombeni mnishauri.Hivi kosa langu hapa lipo wapi?Kupiga machata na spray kwenye nyumba ili ipendeze ndio kosa😳?
Huyu mama wa kipemba ananitafuta nini mie jaman,au kashaniona bwege kisa tangu nihamie kwenye nyumba yake sijafanya tukio lolote?

Sasa ameyakanyaga,atajuta kunipangisha 😏View attachment 2639261
Unajitumia msg
 
SHULE ZIMEFUNGWA LAST WEEK. MAANA NAONA SASA HUMU MABINTI MLIOKUWA SHULE SASA MPO FREE. WEWE LAST WEEK ULIKUWA NA BIRTHDAY UKAJA TANGAZA HUMU LEO.... KWELI KAZi IPO. HALAFU HUJUI KUANDIKA BUSINESSWOMAN UMEANDIKA MAN. WAKATI WEWE... TURUDIE NI MWANAMKE.
We nawe uko obsessed sana na mimi looh. Punguza shobo hizo kidogo basi
 
Mimi intelli Kama nijulikanavyo ni mzee wa kauli ya "I mean no malice to nobody" - ila nilijuta Baada ya kwenda kumtembelea Jamaa yangu wa mkoa fulani.

Aisee Kuna watu wanapenda Shari na ugomvi Kama vile ni chakula, nami nikaona SI mbaya nikishare nanyi niliyo yaona huko. Namnukuu

Kisa Cha kwanza-01
Ila jaman hawa wapangaji wenzangu wa mwisho wa reli wamezidi,khaaaa nimewavulieni kofiaaa 😂😂😂
Jana saa saba usiku kapokelewa mwingine kaja na basi la Adventure ko jumla wamefikia 18,sasa wakati anaingia si nikaguna weeeee wacha nichezee mitusi 😂😂.Naambiwa dume zima silali nafuatilia mambo ya watu.

Lakini jamani nyie wenyewe fikirieni,watu 18 chumba kimoja 😳.Asubuhi sasa wakiwa wanatoka nje weee unaweza sema basi la kigango cha mtakatifu mama jusi wa mashariki linashusha wanakwaya 😂😂

Huyo mmoja ndo anajifanya kimbele mbele kila akiniona ananisonya.Na kidevu chake kirefu utadhani karani wa TANU.

Usiku sasa wakiwa wamelala joto,hawana feni basi kila mtu anajipepea na kipande cha box,hizo kelele unaweza hisi kiwanda cha karatasi kipo chumbani.

Sasa hivi wamejazana hapa uwani wananisikilizia niropoke wanidunde,na mie nimejikausha kimyaaaa nakula zangu chips kuku na pepsi mbembeni huku najiimbia ule wimbo baby punguza raha nakuwa chibonge nanenepaaa😊.Najua roho zinawauma ukizingatia jioni niliona walibandika dagaa na niliwatia michanga 🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
View attachment 2639229
Wewe ni KE??
 
Mimi intelli Kama nijulikanavyo ni mzee wa kauli ya "I mean no malice to nobody" - ila nilijuta Baada ya kwenda kumtembelea Jamaa yangu wa mkoa fulani.

Aisee Kuna watu wanapenda Shari na ugomvi Kama vile ni chakula, nami nikaona SI mbaya nikishare nanyi niliyo yaona huko. Namnukuu

Kisa Cha kwanza-01
Ila jaman hawa wapangaji wenzangu wa mwisho wa reli wamezidi,khaaaa nimewavulieni kofiaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Jana saa saba usiku kapokelewa mwingine kaja na basi la Adventure ko jumla wamefikia 18,sasa wakati anaingia si nikaguna weeeee wacha nichezee mitusi [emoji23][emoji23].Naambiwa dume zima silali nafuatilia mambo ya watu.

Lakini jamani nyie wenyewe fikirieni,watu 18 chumba kimoja [emoji15].Asubuhi sasa wakiwa wanatoka nje weee unaweza sema basi la kigango cha mtakatifu mama jusi wa mashariki linashusha wanakwaya [emoji23][emoji23]

Huyo mmoja ndo anajifanya kimbele mbele kila akiniona ananisonya.Na kidevu chake kirefu utadhani karani wa TANU.

Usiku sasa wakiwa wamelala joto,hawana feni basi kila mtu anajipepea na kipande cha box,hizo kelele unaweza hisi kiwanda cha karatasi kipo chumbani.

Sasa hivi wamejazana hapa uwani wananisikilizia niropoke wanidunde,na mie nimejikausha kimyaaaa nakula zangu chips kuku na pepsi mbembeni huku najiimbia ule wimbo baby punguza raha nakuwa chibonge nanenepaaa[emoji4].Najua roho zinawauma ukizingatia jioni niliona walibandika dagaa na niliwatia michanga [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
View attachment 2639229
' I mean no malice to anybody' halafu unatia dagaa za watu mchanga?!
 
We nawe uko obsessed sana na mimi looh. Punguza shobo hizo kidogo basi
Naona wewe ndo upo obsessed maana unajichomeka hata ambapo hapakuhusu. Niambie wapi mimi hata nimekutag au kukutaja? Nyie wengine kwa nini hamkupewa akili? Mtu hata sikujui na wala sijakutaja popote unajileta leta tu. Mnatafuta mabwana humu? Wewe siyo type yangu. So please stay away from me. Sijakugusa unajileta leta tu kilevi...
 
SHULE ZIMEFUNGWA LAST WEEK. MAANA NAONA SASA HUMU MABINTI MLIOKUWA SHULE SASA MPO FREE. WEWE LAST WEEK ULIKUWA NA BIRTHDAY UKAJA TANGAZA HUMU LEO.... KWELI KAZi IPO. HALAFU HUJUI KUANDIKA BUSINESSWOMAN UMEANDIKA MAN. WAKATI WEWE... TURUDIE NI MWANAMKE.
trudie hili Jamaa linakupendaga Sanaa😂😂😂, mpaka nakasirika Kama mbwehaaa😂😂
 
Naona wewe ndo upo obsessed maana unajichomeka hata ambapo hapakuhusu. Niambie wapi mimi hata nimekutag au kukutaja? Nyie wengine kwa nini hamkupewa akili? Mtu hata sikujui na wala sijakutaja popote unajileta leta tu. Mnatafuta mabwana humu? Wewe siyo type yangu. So please stay away from me. Sijakugusa unajileta leta tu kilevi...
Niwe obsessed na wewe chizi unayejizushia visa kila kukicha si nitakuwa na shida. Hivi kati ya mimi na wewe nani hakupewa akili?? We dada hebu punguza spidi hiyo nitakuwaje type yako wakati wewe ni Chizi?? Eti sio type yangu ya nyoko narudia tena acha shobo.
 
But ni wewe unayenifata fata na kuni tag. Mimi hata jina lako silifahamu. Sasa wapi tena nimekuzushia au ni hayo matege sasa ukitembea unahisi kila mtu akicheka anakucheka wewe? Mimi hata sikufahamu.
 
Halafu anasema eti hajanitaja mimi ndio najipeleka kwake eti nipo obsessed nae hahahaaa....sio mzima kabisa.
Nadhani una stress au umepanic sana. Nioneshe nilipokutaja. Utakuwa na tatizo na hujiamini. Maana sijawahi kukutaja ika unajishtukia. Sasa unajisemesha kwa IDs zako zote mbili. Why? Ndo mambo ya kuachiwa mtoto peke yako? Just calm down muombe Mungu unaweza pata mwanaume mwingine akakuzalisha tena.... Usikate tamaa. Na huna sababu ya kunichukia... Mimi hata jina lako silifahamu ila naona wewe unanijua sana kwa jina.... Na nyuzi unasema nazusha visa ... Unafuatilia...😁
 
Back
Top Bottom