Nataka unithibitishie hiyo ya mashetani,ni kweli???πππππ ,,mana sipati picha. Hayo manyoka na kinyonga ulitafuta kwaajili ya huyo binti au ulikua nayo tangia Zamani[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Jr[emoji769]
[emoji85][emoji85][emoji23][emoji23]Nataka unithibitishie hiyo ya mashetani,ni kweli???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ,,mana sipati picha. Hayo manyoka na kinyonga ulitafuta kwaajili ya huyo binti au ulikua nayo tangia Zamani
ππππππππππππππππ[emoji85][emoji85][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Pole mkuu sana mkuuDah nilifanya hii siku moja zamani.. Lakini niliumia sana baadae nilitubu na kujiapiza sitakaa nifanye hivyo tena
Jr[emoji769]
Nyie siku hao jamaa wakiwa kamataa ndio mnapigwa kote kote.Hili la nauli linatuhusu wengi[emoji85]
Unakula nauli na kwenda hauendi.
Ha ha ha ndio maana Mimi hata tuelewane vipi ila pesa situmi,,,maana ni uboya kutuma pesa kwa mtu usiyemjuaMimi bingwa wa kutapeli wanaume wa mitandaoni wanitumie nauli.
Kama ni utapeli basi na mimi nipo kwenye hilo kundi najiuliza nini sababu mbna kazi ninayo pesaa ninazo lakini natapeli hela za nauli?
Basi najikuta na kesho naendelea tu kutapeli.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniKuna jamaa yangu kipindi hicho ndiyo kaja Dar, bado mgeni mgeni. Sasa akaenda Kariakoo day moja hivi...
Jioni jioni kakuta machinga wamepanga nguo (t-shirts) chini, wanauza. Zimefungwa kwenye makaratasi yale ya upya upya. Sasa jamaa yangu huyu ikabidi aulize kuwa wanauza kiasi gani?
Akaambiwa kila tisheti pale ni elfu 5. Si akaona bei ya kutapa na nguo ni classic. Akajaa, akazinunua 3 za elfu kumi na 5....akijua kwa bei ile amewapiga wao.
Bwana bwana...ile amefika home kaanza kutusimulia kuwa amenunua nguo nzuri kwa bei rahisi kweli. Ile kuzifungua....ha ha ha ha....ni yale ma tisheti makuuubwa oversize ya mitumba. Yamechoka mbaya, na ukilivaa unakuwa kama kituko flani.
Ikabidi moja tuligeuze dekio, moja kanyagio la mlangoni. Ha ha ha....mjini shule, tena shule hasa.
Shangaa na wewe jamani, wanaume wengine wana tabu...Mkuu kwani hata kama anadanga huku yeye binafsi akiamini kuwa anatapeli hapo wewe unapata shida gani hasa?
Dah nilifanya hii siku moja zamani.. Lakini niliumia sana baadae nilitubu na kujiapiza sitakaa nifanye hivyo tena
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tulilipana kama mara tanotano hivi[emoji85][emoji85][emoji85]Na umrudishie dada wa watu ndio utapata msamaha wa kweli. Au nipe mimi kama huna mawasiliano nae[emoji12][emoji12][emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwongo [emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tulilipana kama mara tanotano hivi[emoji85][emoji85][emoji85]
Jr[emoji769]
Si umenifundisha mwenyewe [emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]umeanza lini ramli chonganishi?
Jr[emoji769]
Nirudishie hela yangu nishakupata [emoji41]Mimi bingwa wa kutapeli wanaume wa mitandaoni wanitumie nauli.
Kama ni utapeli basi na mimi nipo kwenye hilo kundi najiuliza nini sababu mbna kazi ninayo pesaa ninazo lakini natapeli hela za nauli?
Basi najikuta na kesho naendelea tu kutapeli.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] yaan nimecheka kwa saut mwewhh
Sent using Jamii Forums mobile app