Visa vya matapeli na watoto wa mjini

Visa vya matapeli na watoto wa mjini

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Jr[emoji769]
Nataka unithibitishie hiyo ya mashetani,ni kweli???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ,,mana sipati picha. Hayo manyoka na kinyonga ulitafuta kwaajili ya huyo binti au ulikua nayo tangia Zamani
 
Nataka unithibitishie hiyo ya mashetani,ni kweli???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ,,mana sipati picha. Hayo manyoka na kinyonga ulitafuta kwaajili ya huyo binti au ulikua nayo tangia Zamani
[emoji85][emoji85][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
[emoji85][emoji85][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yani natafuta mtu nimsimulie hii story,, nimecheka sana
 
Mimi bingwa wa kutapeli wanaume wa mitandaoni wanitumie nauli.

Kama ni utapeli basi na mimi nipo kwenye hilo kundi najiuliza nini sababu mbna kazi ninayo pesaa ninazo lakini natapeli hela za nauli?

Basi najikuta na kesho naendelea tu kutapeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ndio maana Mimi hata tuelewane vipi ila pesa situmi,,,maana ni uboya kutuma pesa kwa mtu usiyemjua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa yangu kipindi hicho ndiyo kaja Dar, bado mgeni mgeni. Sasa akaenda Kariakoo day moja hivi...

Jioni jioni kakuta machinga wamepanga nguo (t-shirts) chini, wanauza. Zimefungwa kwenye makaratasi yale ya upya upya. Sasa jamaa yangu huyu ikabidi aulize kuwa wanauza kiasi gani?

Akaambiwa kila tisheti pale ni elfu 5. Si akaona bei ya kutapa na nguo ni classic. Akajaa, akazinunua 3 za elfu kumi na 5....akijua kwa bei ile amewapiga wao.

Bwana bwana...ile amefika home kaanza kutusimulia kuwa amenunua nguo nzuri kwa bei rahisi kweli. Ile kuzifungua....ha ha ha ha....ni yale ma tisheti makuuubwa oversize ya mitumba. Yamechoka mbaya, na ukilivaa unakuwa kama kituko flani.

Ikabidi moja tuligeuze dekio, moja kanyagio la mlangoni. Ha ha ha....mjini shule, tena shule hasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi bingwa wa kutapeli wanaume wa mitandaoni wanitumie nauli.

Kama ni utapeli basi na mimi nipo kwenye hilo kundi najiuliza nini sababu mbna kazi ninayo pesaa ninazo lakini natapeli hela za nauli?

Basi najikuta na kesho naendelea tu kutapeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nirudishie hela yangu nishakupata [emoji41]

sometimes... hasira zinanifanya nisibonge....
ikiwa rafiki wa karibu.. ndo anaefanya nisisonge ....
 
Nirudishie hela yangu nishakupata [emoji41]

sometimes... hasira zinanifanya nisibonge....
ikiwa rafiki wa karibu.. ndo anaefanya nisisonge ....
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom