Visa vya matapeli na watoto wa mjini

Kwani wewe Muzine ungepata hasara gani ungempa mwana?
Angekojoa Tena sio ndani kwako Ila kwenye kondom na kukuachia papuchi yako ambapo ungeipiga maji ya Moto ingerudi kwenye Khali yake ya zamani Kama OG kabisa.
 
Kuna bar moja ilikua Sam Nujoma inaitwa Cafe Latino. Kuna mdada mmoja siku moja alivalia Kama ma barmaid wa pale. Alipoingia tu akaanza kuchukua order kwa kila aliyejipendekeza Kisha akasepa na hela zote.
Hslafu pale ni barabarani ilikuwa ni rahisi tu kusepa na usafiri wowote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ule ni uchaw wakununua unauzwa pale k koo ukitaka kumkomesha akitaka kuweka simu kwenye mwambie hpn mkono kwamkono hakubali ng'o
 
Halafu tukisikia kwenye vyombo vya habari kuwa wameua mtu tunawaona ni viumbe katili saana. Unaweza kukuta alibeba mimba pia siku hii.
 
Malaya wenye tabia chafu kama wewe wanajionaga wajanja, mpaka pale wanapokuja kutekwa,kubakwa nyuma na mbele. Halaf wanaingiziwa chupa iliyovunjwa na jipande la mti. Wanakutwa wamekufa kifo cha kinyama,watu wanashangaa imekuaje. Jiandae kisaikolojia maana sio wote unao wafanyia hivyo wana moyo wa kusamehe
 
Moyo wa mtu ni kiza kinene sana na kwenye pesa hufai kumwamini yoyote awaye yote
 
Matapeli wazoefu walikuwa wanaitwa walimu na wale wasiowazoefu walikuwa wanaitwa wanafunzi.πŸ˜€
 
Dah, huyu jamaa ana roho ya kikatili sana aisee πŸ˜ƒ
 
Iko kisa cha kwanza noma saanaπŸ˜€πŸ˜€ duuh!!!
 
Ama kweli maandishi hayafutikiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…