Visa vya matapeli na watoto wa mjini

Visa vya matapeli na watoto wa mjini

Nina marafiki zangu wale wa tuma elfu 14000 tuma na majina yako matatu jina la baba na jina la mama.

Hahahah ni shida wakimpiga mtu huwa tunazitumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NGOJA NIWAPE MKASA MMOJA

kuna boss wangu juzi nimemtapeli kazi aliyoniandikia pamoja na 50000 ya lodge.

Alikuwa ananitongoza nikakubali nikamwambia aniandalie document flani ambazo nilitakiwa nikaguliwe kazini kwa kuwa alijua atapata mzigo akaniandalia hizo document.

Siku ya kuzifata akaniambia yupo pale Madengo bar ya Dodoma wengi wanaifahamu. Basi nikaenda pale nikaagiza savvana kama mbili na Kitimoto rost nikazifukia nikala nikashiba.

Nikamwambia document zikwapi akasemaa hizi hapa kwenye bahasha nikazichukua nikaweka kwenye mkoba nikatulia.

Akasema tutafute lodge tukalale mm nikamwambia kwa sababu wewe ni mheshimiwa watu wakikuona itakuwa shida unatengeneza skendo nipe hela mm nikachukue chumba pale Simba hotel alafu nakupigia simu unakuja.

Akawa amenipa elfu 50000 ya chumba mm nikachukua pikpik ndruuuuki mpaka Geto kwangu.

Nilivyofik ninatumia sms usinitafute mm nipo nyumbani.

Hapa nilipo nawaza siku nikipata shida ya kikazi yeye ndiye boss wa hicho kitengo atanisaidia?

Maana alimpigia simu mpaka kiongozi wa ofisi yetu kumwambia jinsi mfanyakazi wake nilivyomtapeli.
Hahahahahaahha kama nakuona hapo. Eti simba Hotel umenikimbusha mbalii ni jirani na kwangu hahahahhahaha
 
Na mm nilishawahi kutapeliwa pale ubungo nakumbuka nilitoka kukata tiketi ya kurudi shule mbeya natoka nakutana na teja teja fulani kabeba simu nzuri kabisa aiseee. Ananiomba kuwa yuko alosto nimsaidie akazimue anajisikia vibaya. Basi nilikua na shoga angu akasema nunua tuu hela yenyewe ndogo si tumeshakata tiketi simu kama hyo madukani utapata kwa hela hyo wapi??? Basi ndo kumpa hela sijui hata walibadilisha saa ngapi na akili sijui zilipotea saa ngapi maana hata ku reason hatu ku reason, alinipa kibahasha kimefungwa ila shape ni kama simu!!! heee si akasepa na sisi tukasema tusogee mbele tukafungulie kule lahaulaaa kufungua sabuni hiyooooo Isopooo mweee. Sikucheka wala kulia ila nilikenua tuu haieleweki ni kicheko au kilio maana hela ya pocket money ndo nshaipoteza hivyooo.
 
Mimi huwa nikipigiwa simu na mpenzi wangu(mchepuko) nikisikia tu "mpenzi nikuambie kitu" najua huyu anataka kunidanganya nimpe hela ndefu basi hapohapo nakata simu haraka natoa betri na line naficha kabisa uvunguni mwa kitanda kama wiki hivi ndiyo nawasha simu tena
[emoji23][emoji23] huu uzi nimecheka kama mwehu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mm nilishawahi kutapeliwa pale ubungo nakumbuka nilitoka kukata tiketi ya kurudi shule mbeya natoka nakutana na teja teja fulani kabeba simu nzuri kabisa aiseee. Ananiomba kuwa yuko alosto nimsaidie akazimue anajisikia vibaya. Basi nilikua na shoga angu akasema nunua tuu hela yenyewe ndogo si tumeshakata tiketi simu kama hyo madukani utapata kwa hela hyo wapi??? Basi ndo kumpa hela sijui hata walibadilisha saa ngapi na akili sijui zilipotea saa ngapi maana hata ku reason hatu ku reason, alinipa kibahasha kimefungwa ila shape ni kama simu!!! heee si akasepa na sisi tukasema tusogee mbele tukafungulie kule lahaulaaa kufungua sabuni hiyooooo Isopooo mweee. Sikucheka wala kulia ila nilikenua tuu haieleweki ni kicheko au kilio maana hela ya pocket money ndo nshaipoteza hivyooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Hahahahajahaha uwiiii kuna ndugu yangu aliuziwa simu bovu ubungo jaman khaaa aliumwa week nzima hahaha

Kuna mzungu ni Raia wa Armania nilikua nawasiliana nae kwenye mtandao2, tulikua na Biashara ya Madini (Almasi) akaniomba nimtumie picha za Mali nilizo nazo yani hayo mawe, nikamtumia picha nyingi sana zikiwa tofauti tofauti, kuna Rejection, kuna nyeupe sana yani Dee colour, kuna kubwa kuanzia carat 10 kuendelea, sasa ikafika mda ikabidi atue Bongo ili tufanye Biashara, akafika Dar akanijulisha nikamwambia panda ndege uje Mwanza, akaja bwana Mzungu yule nikampokea Airport, nikampeleka Hotel asbhi yake tukaamkia Biashara, nikaanza kumwaga Mali mezani, nilimimina kila aina ya Almasi kasoro pink2 ndio ckua nayo, walikua wawili wao mimi nipo peke yangu yani one man show, lkn lkn kila Mali akihama bei ananihama pungufu, yani mfano Mali ya dola elf5 yeye anatoa elf3 au mbili, mwisho nikaona hkna wanunuzi hpa nikamuuliza umekuja kununua kweli au unafanya window shop? Akasema kweli nimekuja kununua, nikamtupia tena carat 42 Dee colour manake ndio ilikua kipimo changu cha mwisho kwake, nikamwambia hii Mali nataka dola laki5 mzungu Akasema dola laki2 nikachukua Mali yangu nikaweka mfukoni nikamwambia kwaheri, lkn kumbe wakati nafanya nae biashara alikua na mawasiliano na jamaa wengine kumbe ni matapeli, walikuja kumtupia chupa zilizochongwa wao matapeli wanaziita (nyau) alipigwa mzungu Dola laki 4, yule mzungu nahisi alienda kujiua uko Armania

Sent using Jamii Forums mobile app
Im sorry to say this! Kumtampeli muhindi na mzungu hakunaga zambi. [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona visa vingi hapa ni vya mapenzi basi ngoja nami nitoe changu
Binti mmoja mkazi wa kino shombe fulani hivi alikuwa na trick yake moja kujifanya ana maruhani.. Anakunywea na kukulia vyako lakini kila ukitaka mchezo anakupanga au anakusubirisha.. Akishakufanyia hivyo kama mara nne ya tano atakubali ila mkifika gesti anapandisha maruhani yake majini mpaka mashetani... Kwa jinsi alivyo msanii itabidi tu utoke nduki umwachie na chumba
Kupata hizi habari nikasema subiri huyu nitamkomesha...
Tukafanya mitoko kama miwili hivi ananipanga... Mimi sikuwa na pressure nikamwambia ngono kwangu sio kipaumbele... Nyoko zake akahadaika... Mtoko wa tatu tukatoka mpaka gesti moja Mandela road...
Baada ya kula na kunywa tukazama ndani.... Kufika ndani akaona sina pressure naye.... Nilikuwa na kibegi changu nimeweka mambo yangu kiko mezani... Basi akaanza vituko... Mara akaanza kujinyoosha na kujinyonga kama nyoka huku anapiga miayo ya kujilazimisha...
Mara akasema anasikia joto, mara baridi halafu taratibu akaanza kupandisha madude yake
Kwenye kibegi changu kulikuwa na joka jeusi la plastic, kinyonga mfu, na mahirizi kibao.... Basi wakati anaendelea kupandisha Mimi nikachukua kibegi changu na kutoa zana niague mgonjwa.....
Kuliona lile joka nilisikia tu akisema mama nakufa... Halafu mashetani, majini na maruhani yote yakaingia mitini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mshtuko alioupata mpaka namaliza round ya kwanza ndio nikaona anaanza kutoa ushirikiano... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....

Jr[emoji769]
[emoji23] Hii unaongoza ligi bro!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23] huu uzi nimecheka kama mwehu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na mm nilishawahi kutapeliwa pale ubungo nakumbuka nilitoka kukata tiketi ya kurudi shule mbeya natoka nakutana na teja teja fulani kabeba simu nzuri kabisa aiseee. Ananiomba kuwa yuko alosto nimsaidie akazimue anajisikia vibaya. Basi nilikua na shoga angu akasema nunua tuu hela yenyewe ndogo si tumeshakata tiketi simu kama hyo madukani utapata kwa hela hyo wapi??? Basi ndo kumpa hela sijui hata walibadilisha saa ngapi na akili sijui zilipotea saa ngapi maana hata ku reason hatu ku reason, alinipa kibahasha kimefungwa ila shape ni kama simu!!! heee si akasepa na sisi tukasema tusogee mbele tukafungulie kule lahaulaaa kufungua sabuni hiyooooo Isopooo mweee. Sikucheka wala kulia ila nilikenua tuu haieleweki ni kicheko au kilio maana hela ya pocket money ndo nshaipoteza hivyooo.
Hahahahajahaha uwiiii kuna ndugu yangu aliuziwa simu bovu ubungo jaman khaaa aliumwa week nzima hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa mwaka 2006 wakati huo blackberry ndio simu za bei ghali hasa,... Kwenye gari niko na wavimba macho watatu, dereva mimi, tunatokea Mwenge tunaenda Moro
Kufika kwenye foleni ya ubungo akaja kwenye dirisha la gari mtu kama kibaka akaichomoa ile simu mfukoni na kuwaonesha wavimba macho basi mmoja akafungua kioo na kuuliza shngapi? Kibaka akasema laki 2... Mchina akasema hamsini basi wakawa wanavutana bei kumbe yule tapeli alikuwa anataimu taa
Magari yaliporuhusiwa akajifanya shingo upande kakubali ile hamsini.... Mchina akatoa hela akakabidhiwa simu yake tukatembea.... Tunafika usawa wa tanesco nilisikia tu misonyo na na matusi ya kichina... Haikuwa simu bali kipande cha sabuni kwenye housing ya BB

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom