Visent Kigosi (Ray) Nyota yake ilikuwa inazunguka kwa Mgongo wa Kanumba. Kifo cha Kanumba kimeleta shida sana kwake

Hivi Chalinze na Mlandizi ni wale wale?

Kote Pwani na mambo yao ya kipwani pwani.

Nollywood na Bongo movie zote kelele tu ila watu wanapata mkate wao wa kila siku kwenye hizo tasnia so there's that.
 
Wale waigizaji wa Nollywood wengi wana shahada na uigizaji kwao ni vipaji. Hapa kwetu Bongo Movie ni mlango wa kutokea huna cheti chochote.
dada yangu umeongea jambo la msingi sana.tasnia ya filamu tanzania imetawaliwa na vilaza wengi. wanaojiita wasanii wamejificha kwenye kichaka cha umaarufu.

azam tv huwa wana segment inayozungumzia wasifu wa wasanii nyota wa kituruki ambao tamthilia zao zinaonyweshwa kwenye chaneli ya azam two. CV zao zinatisha sana, ni shule mwanzo mwisho.

wacheza filamu wa bongo wameridhika na vipaji vyao. hakuna anayetumiwa wasifu wa wasanii wa kituruki kama hamasa ya kuwashawishi warudi shule kuongeza maarifa.
 
Ukiwa muangalia sinema mzuri, Nollywood wanasoma sana novels za Kizungu na kunvert scene nyingine katika mazingira ya Kiafrika. Kwakweli hata kama wana copy lakini wanaongeza manjonjo na Kiingereza chao hata Wazungu wanakielewa.
 
Ujue watanzania wa siku hizi sio kama wa zamani..watanzania siku hizi wameshachoka kufokewa bila sababu za msingi..style yake ya kufokafoka wakati anaigiza ndio imemuharibia
[emoji23][emoji23][emoji23]eti syle ya kufoka
 
Ujue watanzania wa siku hizi sio kama wa zamani..watanzania siku hizi wameshachoka kufokewa bila sababu za msingi..style yake ya kufokafoka wakati anaigiza ndio imemuharibia
Alaaa....puuumbaaaavuuuuuuuu.....
 
Umeongea point. Niliangalia filamu moja ya watoto mapacha ilikuwa kali sana.
 
Kipindi kile kiba anatamba na Cinderella huyo mond ulikuwa unamjua?!
 
Pilpili entertainment
 
Kama vp ashindane na gabo
 
Mkojani na vituko vyake kawafunika. Siku hizi hata Johari anaomba kumpata mme yeyote mwenye akili timamu tu amuoe ili amsitiri kachoka kudanga
 
mkuu huu ni ukorofi wa kimataifa, umempiga na kitu kizito kichwani sijui kama atainuka.
 
Wewe nyota yako inazunguka kwa mgongo wa nan mtoa mada
 
Mkuu acha papara na kukurupuka bila kusahau kuabudu watu ,domo hawezi kuwa nabii halafu karibu JF nzima wanafahamu am domo hater. kiba alipotea akaja kuibuka kwa kiki ya kushindana na domo

anashindana nini na domo!!!!

magari,wingi wa nyimbo,machawa ama idadi ya mademu??
 
Mkojani na vituko vyake kawafunika. Siku hizi hata Johari anaomba kumpata mme yeyote mwenye akili timamu tu amuoe ili amsitiri kachoka kudanga
Huyo mkojani anajitahidi kuvaa viatu vya Mzee Majuto lakini vitampwaya anamisifa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…