Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Hivi Chalinze na Mlandizi ni wale wale?Nollywood na bongo movie hakuna tofauti wote wale wale tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Chalinze na Mlandizi ni wale wale?Nollywood na bongo movie hakuna tofauti wote wale wale tu.
Hivi Chalinze na Mlandizi ni wale wale?
labda harmo,kiba yuko kabla huyu nabii wenu hajatoka.
dada yangu umeongea jambo la msingi sana.tasnia ya filamu tanzania imetawaliwa na vilaza wengi. wanaojiita wasanii wamejificha kwenye kichaka cha umaarufu.Wale waigizaji wa Nollywood wengi wana shahada na uigizaji kwao ni vipaji. Hapa kwetu Bongo Movie ni mlango wa kutokea huna cheti chochote.
Ukiwa muangalia sinema mzuri, Nollywood wanasoma sana novels za Kizungu na kunvert scene nyingine katika mazingira ya Kiafrika. Kwakweli hata kama wana copy lakini wanaongeza manjonjo na Kiingereza chao hata Wazungu wanakielewa.dada yangu umeongea jambo la msingi sana.tasnia ya filamu tanzania imetawaliwa na vilaza wengi. wanaojiita wasanii wamejificha kwenye kichaka cha umaarufu.
azam tv huwa wana segment inayozungumzia wasifu wa wasanii nyota wa kituruki ambao tamthilia zao zinaonyweshwa kwenye chaneli ya azam two. CV zao zinatisha sana, ni shule mwanzo mwisho.
wacheza filamu wa bongo wameridhika na vipaji vyao. hakuna anayetumiwa wasifu wa wasanii wa kituruki kama hamasa ya kuwashawishi warudi shule kuongeza maarifa.
[emoji23][emoji23][emoji23]eti syle ya kufokaUjue watanzania wa siku hizi sio kama wa zamani..watanzania siku hizi wameshachoka kufokewa bila sababu za msingi..style yake ya kufokafoka wakati anaigiza ndio imemuharibia
Alaaa....puuumbaaaavuuuuuuuu.....Ujue watanzania wa siku hizi sio kama wa zamani..watanzania siku hizi wameshachoka kufokewa bila sababu za msingi..style yake ya kufokafoka wakati anaigiza ndio imemuharibia
Umeongea point. Niliangalia filamu moja ya watoto mapacha ilikuwa kali sana.dada yangu umeongea jambo la msingi sana.tasnia ya filamu tanzania imetawaliwa na vilaza wengi. wanaojiita wasanii wamejificha kwenye kichaka cha umaarufu.
azam tv huwa wana segment inayozungumzia wasifu wa wasanii nyota wa kituruki ambao tamthilia zao zinaonyweshwa kwenye chaneli ya azam two. CV zao zinatisha sana, ni shule mwanzo mwisho.
wacheza filamu wa bongo wameridhika na vipaji vyao. hakuna anayetumiwa wasifu wa wasanii wa kituruki kama hamasa ya kuwashawishi warudi shule kuongeza maarifa.
Kipindi kile kiba anatamba na Cinderella huyo mond ulikuwa unamjua?!Ray bana hadi blog akaanzisha ili mradi aonekane mwamba kama kanumba. Kifo cha kanumba ni pigo kali kwa ray na vidada alivyovivumbua,vimebakia na umaarufu wa insta tu
Huu ni mfano Domo vs kiba& harmo
Kiba na harmo wamuombee domokaya maisha marefu maana ndie aliyebeba umaarufu wao
Hapana hakujichubuaAnafanya nini kwa sasa?.Kuna kipindi alikuwa anajichubua sana usoni
Pilpili entertainmentSiku hizi wamejikita kutoa series film haziuziki
Kuna kipindi alipiga kelele kuwafanya wapenzi wa bongo movie wamsahau Steven Charles Kanumba lakini wapi
Nakibaya zaidi makampuni ya usambazaji wafilm yamekufa
Najiuliza Kanumba angekuwepo kweli yangekufa haya makampuni
Ila jamaa atakumbukwa Daima wale waliomchukia wanaona umuhimi wake kwa sasa
Kama vp ashindane na gaboUle msuguano wao wa kishabiki ulikuwa unanogesha tasinia nzima ya bongo movie.
Na ieleweke bila ushindani wa vile mara nyingi kunakuwa hakuna maendeleo ya jambo husika.
Inawezekana pia kama angetangulia Ray, Kanumba naye kwa kiasi fulani angeyumba.
-Kanumba The great ....Ray naye akajiita The Greatest [emoji28]
Hivi hawa hawawezi kukutana na shigongo angalau awe anawauzia story watoke jamani wamefunga sana etii yaaniMkuu kuigiza kipaji ila uandishi wa story ni taaluma
Mkojani na vituko vyake kawafunika. Siku hizi hata Johari anaomba kumpata mme yeyote mwenye akili timamu tu amuoe ili amsitiri kachoka kudangaSiku hizi wamejikita kutoa series film haziuziki
Kuna kipindi alipiga kelele kuwafanya wapenzi wa bongo movie wamsahau Steven Charles Kanumba lakini wapi
Nakibaya zaidi makampuni ya usambazaji wafilm yamekufa
Najiuliza Kanumba angekuwepo kweli yangekufa haya makampuni
Ila jamaa atakumbukwa Daima wale waliomchukia wanaona umuhimi wake kwa sasa
mkuu huu ni ukorofi wa kimataifa, umempiga na kitu kizito kichwani sijui kama atainuka.KE
huo ni uzi wa huyo born town shabiki wa kiba na r kelly
Nipo katika kipindi kigumu, naomba msaada
Habari za Asubuhi Ndugu na jamaa zangu wa jf.Matumaini yangu wote Ni wazima wa afya,poleni na ugumu wa maisha Katika kipindi kigumu cha JPM.Lakini kwa upande wangu naiona Tanzania mpya inakuja. Tuache hayo nije kwenye dhumuni la andiko hili........ Ilikuwa ni mwaka 2014 nilipoanza kazi Katika...www.jamiiforums.com
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbona nabii!labda harmo,kiba yuko kabla huyu nabii wenu hajatoka.
Wewe nyota yako inazunguka kwa mgongo wa nan mtoa madaWana JF
Ukisikia nyota kung'aa huwa ina msukumo wa dodoki, hii imetokea mwigizaji nguli Ray ambaye akiweka sana miaka 8 iliyopita kwa mgongo wa Kanumba, ambaye alitokea kupanda sana kutokana na juhudi zake za kukonga roho za watu kutokana na umahili wa kuigiza nyanja zote.
Msindani wake Visent Kigosi almaalufu kama King Ray, alijinasibu kuwa wana uwezo unaofanana katika uigizaji. Mara nyingi tuliona drama za kushindana hata kuonyesha magari mazuri. Kanumba yeye alijikita kwenye mapenzi na wasichana wapya wakati Ray yeye alinasa kwa majimama yenye pesa.
Namkumbuka Dotnata akiwa ni mtu mzima mama wa watoto wawili alikuwa ilimanusura waoane. Dottinata kipindi hicho anawika kwa mapishi bora ya kwenye harusi na masherehe pia na mapambo. Sikui hizi haonekani kabisa. Ray hata matangazo hawampi Richard ya kuandaa mwanae angalau aambulie ustaa bado mbichi lakini naye makosa promo baada ya Ray kutengana na mke wake.
Mkuu acha papara na kukurupuka bila kusahau kuabudu watu ,domo hawezi kuwa nabii halafu karibu JF nzima wanafahamu am domo hater. kiba alipotea akaja kuibuka kwa kiki ya kushindana na domo
akili mkando.KANUMBA ALIBEBWA NA FREEMASON
Huyo mkojani anajitahidi kuvaa viatu vya Mzee Majuto lakini vitampwaya anamisifa sanaMkojani na vituko vyake kawafunika. Siku hizi hata Johari anaomba kumpata mme yeyote mwenye akili timamu tu amuoe ili amsitiri kachoka kudanga